Waziri Mkuu,Mizengo Pinda Afungua Hospitali Mpya ya Wilaya na Namtumbo Mkoani Songea leo
**
* Waziri Mkuu,Mh. Mizengo Pinda akifunua kitambaa kuashiria Ufunguzi rasmi
wa Hospitali Mpya ya Wilaya ya Namtumbo,Mkoani Ruvuma uliofanyika mchana wa
leo,ikiwa ni sehemu za Ziara yake ya Kikazi katika Mkoa wa Ruvuma.Mbali ya
Ufunguzi wa Hospitali hiyo Mpya,Waziri Mkuu amezindua pia Machinjia Mapya
na ya Kisasa kabisa katika Wilaya hiyo ya Namtumbo pamoja na Kuzindua
Mtambo wa Kufua Umeme katika Wilaya hiyo.*
**
* Waziri Mkuu,Mh. Mizengo Pinda (wa pili kulia) akipatiwa Maelezo machache
juu ya Hospitali hiyo kutoka kwa Mganga Mkuu wa Mkoa huo wa Ruvuma wakati
akikagua Jengo la Hos... more »
DKT SHEIN AZUNGUMZA NA MWAKILISHI WA UNICEF TANZANIA
**
* Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed
Shein,akisalimiana na Mwakilishi wa UNICEF nchini Tanzania Dk.Juma
Gulaid,alipofika Ikulu Mjini Zanzibar kumtambulisha Mkuu mpya wa Shirika
hilo Mama Francesca Moranditi,(hayupo pichani).[Picha na Ramadhan Othman
Ikulu.]*
**
* Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed
Shein,akisalimiana na Mwakilishi wa UNICEF Ofisi ya Zanzibar Mama Francesca
Moranditi,alipofika Ikulu Mjini Zanzibar,kujitambulisha kwa Rais,
[Picha na Ramadhan Othman Ikulu.] *
**
* Mwakilishi wa Shirika la UNICEF n... more »
CPA Tawi la Tanzania yaanza maandalizi mkutano wa mwakani
**
*Mwenyekiti wa Chama cha Mabunge ya nchi wanachama wa Jumuiya ya Madola
(CPA) Tawi la Tanzania Mhe. Mussa Zungu Azzan akifungua kikao cha Kamati
tandaji pamoja na Sekretarieti jijini Dar es Salaam leo kujadili ushiriki
wa Tawi la Tanzania katika Mkutano Mkuu wa 44 wa CPA Kanda ya Afrika
utakaofanyika Windhoek, Namibia kuanzia tarehe 17-27 Julai, 2013. Kushoto
kwake ni Mratibu wa CPA Bwana Saidi Yakubu na Kaimu Katibu wa CPA Bwana
Demetrius Mgalami. Tanzania itakuwa mwenyeji wa Mkutano Mkuu wa 45 wa mwaka
2014 ambapo Spika wa Bunge la Tanzania ambaye ni Mkamu wa Rais wa CPA kwa ... more »
Anwani za Makazi na Misimbo ya posta kuharakisha maendeleo-Wizara
*Wizara ya Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia imesema mpango wa
utekelezaji uanzishaji wa Anwani za Makazi na Misimbo ya posta itasaidia
kurahisisha mawaslimo na kuchochea maendeleo nchini.*
*Naibu Katibu Mkuu Wizara hiyo, Profesa Patrick Makungu aliwambia
wanandishi wa habari jana jijini Dar es Salaam mara baada ya kufungua
semina ya siku moja ya wakurugenzi wa Utawala na Rasilimali watu wa wizara,
juu ya kuwajengea uelewa pamoja na kuhamasisha matumizi ya anwani za makazi
na misimbo ya posta..*
*“Jambo hili ni muhimu sana katika ulimwengu wa sasa katika kurahishsisha
mawasiliano... more »
Airtel na UNESCO kuzindua radio jamii Karagwe Bukoba
*
*
**
*
*
*Airtel na UNESCO kuzindua radio jamii Karagwe Bukoba*
*
*
*· Mawasiliano ya radio yaboreshwa kufikia vijiji vingi zaida
kulinganishwa na awali*
*· Zaidi ya radio 8 kuzindua chini ya mradi huu*
*
*
*Jumanne 16 Julai 2013 Kampuni ya simu za mkononi ya Airtel kwa
kushirikiana na shirika lisilo la kiserikali UNESCO wanatarajia kuzindua
radio jamii katika wilaya ya Karagwe mkoani Bukoba mwishoni mwa wiki hii*
*
*
*Uzinduzi huo unafatia ushirikiano kati ya Airtel na UNESCO katika mradi wa
kusadia jamii na kufikisha mawasiliano ya radio sehemu ambazo zina
changamo... more »
MEYA GAUDENCY LYIMO AFYATUKA NA KUWATA WANASIASA KUWAPELEKEA WANANCHI MAENDELEO NA SI MALUMBANO.
**
*Mahmoud Ahmad Arusha.*
*
*
*Meya wa jiji la Arusha Afyatuka awataka wanasiasa kuwapelekea wananchi
maendeleo na kuachana na kauli za kumuondoa meya huyo na malumbano yasiyo
na tija kwa wakazi wa jiji hili kwani utaratibu wa kanuni na sheria zipo
wazi na hazihitaji malumbano kwani yupo kisheria.*
*
*
*Akizungumza na waandishi wa habari kwenye ofisi za Halmashauri ya Jiji la
Arusha Meya huyo Gaudency Lyimo alikuwa akijibu swali aliloulizwa
kumekuwepo na malumbano ya muda mrefu kiasi cha kupachikwa majina kuwa meya
wa kichina huku wanasiasa wakijinadi kuwa ataondoka kwenye kiti hich... more »
Swahili TV yafanya Exclusive interview na waziri mkuu mstaafu Edward Lowasa.
*Pamoja na mambo aliyozungumzia waziri mkuu mstaafu aliwaasa Diaspora
Marekani, kuungana mkono katika shughuli zao , kupendana na kutakiana mema.
Amesema kama wananchi waishio Marekani wakipendana itakuwa rahisi zaidi
kuleta maendeleo katika nchi ya Tanzania. Pia aliongelea maswala ya elimu,
mchakato wa katiba unaoendelea na muelekeo wa kisiasa wa nchi nzima ya
Tanzania. *
**
*Mahojiano yake yatafuata hapo baadae.*
*
*
waziri wa ujenzi dr. magufuli atembelea mradi wa ujenzi wa barabara ya Ndundu-Somanga(km 60
**
* Waziri wa Ujenzi Dr.John Magufuli (kushoto) akisikiliza maelezo ya ujenzi
wa barabara kutoka Ndundu-Somanga (km 60) mkoani Pwani jana kutoka kwa
Mhandisi Mkazi kutoka kampuni ya ESG (Mouchel Parkman )alipotembelea
kuangalia maendeleo ya ujenzi huo ambapo hadi sasa wameshalipwa kiasi cha
shilingi 59 bilioni.*
*
*
*
*
**
* Waziri wa Ujenzi Dkt. John Magufuli(mwenye pama katikati) akitoa
maagizo kwa meneja wa mradi wa ujenzi pamoja na Mhandisi mkazi wa mradi huo
hawapo pichani jana alipotembelea mradi huo jana,ambapo Waziri Magufuli
mna mwenedo wa kususua wa ujenzi huo. (kus... more »
SERIKALI YASAINI MKATABA KUUNDA MFUMO WA UTOAJI HUDUMA ZA KITABIBU KWA NJIA YA ELEKTRONIKI NCHINI
*Na. James Katubuka*
*
*
*Serikali kupitia Ofisi ya Rais,Menejimenti ya Utumishi wa Umma imesaini
mkataba kwa ajili ya kuunda mfumo wa kutoa huduma za kitabibu kwa njia ya
elektroniki ili kuwawezesha wananchi kupata huduma bora kwa wakati.*
*
*
*Akisaini mkataba huo leo,Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais,Menejimenti ya
Utumishi wa Umma Bw. George D. Yambesi alisema mkataba huo utawezesha
kuboresha huduma katika sekta ya afya nchini. “Mfumo huu unatarajiwa kuleta
mabadiliko makubwa katika huduma za kitabibu zitolewazo na Sekta ya Afya”
alifafanua Bw. Yambesi.*
*
*
*Naye, Mkurugenzi Mtendaji w... more »
Waziri Fenella akutana na Mtendaji Mkuu wa Standard Chartered Bank Tanzania
**
**
* Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Dkt Fenelle Mukangara
kulia akizungumza na Afisa Mtendaji Mkuu wa Benki ya Standard Chartered
Tanzania Bibi Liz Lloyd alipomtembelea ofisini kwake leo jijini Dar es
Salaam. Katika mazungumzo yao walijikita katika kuangalia namna ambavyo
benki ya Standard Charterd Tanzania inaweza kushirikiana na Serikali
kuwawezesha Vijana kukabiliana na changamoto za maisha. *
**
* Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Dkt Fenelle Mukangara
kulia akiagana na Afisa Mtendaji Mkuu wa Benki ya Standard Chartered
Tanzania Bibi Liz Lloyd alip... more »
No comments:
Post a Comment