JK AFUTURU NA YATIMA IKULU JIJINI DAR
**
* Baadhi ya watoto yatima wakipakuliwa futari iliyoandaliwa na Rais
Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete ikulu jijini Dar es Salaam Jumatatu jioni*
**
*Wtoto yatima wakishiriki katika futari iliyoandaliwa na Rais Dkt.Jakaya
Mrisho Kikwete ikulu jijini Dar es Salaam *
**
*Watoto yatima wakishiriki katika futari iliyoandaliwa na Rais Dkt.Jakaya
Mrisho Kikwete ikulu jijini Dar es Salaam *
**
* Yatima wakipata futari Ikulu*
**
* Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiwasabahi baadhi ya watoto yatima
walioshiriki katika futari aliyoiandaa ikulu jijini Dar es Salaam leo.Watot
yatima wanaolelewa katik... more »
No comments:
Post a Comment