Pages

Ads 468x60px

Sunday, July 14, 2013

MATOKEO YA UCHAGUZI KATA NNE ZA ARUSHA HAYA HAPA

tume ya taifa ya uchaguzi imetangaza matokeo rasmi kuwa chadema kimeshinda uchaguzi WA UDIWANI katika kataza zote nne za Arusha na matokeo ni kama ifuatavyo: kata ya themi CDM 678, CCM 326 ,CUF 313 KIMANDOLU CDM 2665, CCM 1169. KALOLENI CDM 1019, CCM 389, CUF 169 ELERAI CDM 1725, CCM 1239,CUF 213
TOA MAONI YAKO HAPA CHINI

No comments:

Post a Comment