MNARA WA KUMBUKUMBU YA MAHALA ALIPOWAHI KULALA MWALIMU NYERERE
**
*Huu ni Mnara wa Kumbukumbu ya Mahala alipowahi kulala Marehemu Baba wa
Taifa,Hayati Mwalim Julius Nyerere wakati akiwa katika harakati za kutafuta
uhuru wa nchini yetu hii mnamo mwaka 1955.Mnara huu upo katika Kijiji cha
Ruhegu,Wilayani Namtumbo Mkoani Ruvuma*
Vodacom yaboresha Maisha ya wanawake 400 Temeke,jijini Dar
**
*Meneja Mawasiliano wa Vodacom Tanzania,Bi.Rukia Mtingwa(katikati)akiongea
na baadhi ya kinamama wajasiriamali wadogowadogo wanaofanya biashara katika
soko la Temeke Sterio jijini Dar es Salaam wakati walipofika sokoni hapo
kutoa mikopo isiyokuwa na riba kwa kinamama hao kupitia mradi wa MWEI. *
**
*Meneja wa Vodacom Foundation kupitia mradi wa MWEI, Grace Lyon,
akiwahakiki baadhi ya kinamama wajasiriamali wadogowadogo wanaofanya
biashara katika soko la Temeke Sterio jijini Dar es Salaam wakati
walipofika sokoni hapo kutoa mikopo isiyokuwa na riba kwa kinamama hao
kupitia mradi wa... more »
Wanahabari watembelea Mradi wa Uranium uliopo chini ya Kampuni ya Manrta Tanzania,Namtumbo Mkoani Ruvuma leo
**
* Afisa wa Kitengo cha Usalama wa Kampuni ya Mantra Tanzania
inayoshughulika na Mradi wa Uchimbaji Madini aina ya Uranium,uliopo kwenye
Kijiji Mkuju,Wilayani Namtumbo Mkoani Ruvuma,Fredrick Kriel akitoa mada ya
maswala ya Usalama Mgodini wakati wa Semina fupi kwa Baadhi ya Wanahabari
waliofanikiwa kutembelea Mradi huo uliopo pembezoni mwa Hifadhi ya Taifa ya
Seluu na kufahamu mambo mbali mbali juu ya Madini hayo ya Uraniuam.*
**
*Afisa wa Kitengo cha Usalama wa Kampuni ya Mantra Tanzania,Fredrick Kriel
akionyesha moja ya mambo muhimu na yanayotakiwa kuzingatiwa kwa mtu yeyote
awap... more »
serikali ya denmark yatoa zaidi ya milioni 319 kwa kituo cha msaada wa sheria kwa wanawake na watoto mkoani lindi.
*Na Abdulaziz video,Lindi.*
*
Serikari ya Denmark Imetoa
zaidi ya Milioni 319 kwa Kituo cha Msaada wa Sheria kwa wanawake na
watoto Mkoani Lindi (LIWOPAC) kwa ajili ya kujenga na kuboresha uwezo
wa wasaidizi wa kisheria wapatao 125.**
Mratibu wa mradi huo,Bi Cosma Bulu ameeleza hayo alipokuwa
akitambulisha mradi huo kwa uongozi wa Mkoa na wadau wengine wa Mkoa
huo hafla iliyofanyika katika ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Lindi
Mradi huo Ambao unalenga kuongeza upatikanaji wa huduma za kisheria
bila malipo baada ya kutoa elimu kwa wasaidizi wa kisheria waliopo
katika wilaya za Lindi, Kilwa,... more »
Waziri Mkuu aweka jiwe la msingi na kuzindua miradi ya maendeleo Namtumbo
* *
* Waziri Mkuu Mizengo kayanza Pinda akikata utepe kuashiria ufunguzi wa
Hospital ya Wilaya ya Namtumbo*
**
* Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akikata utepe kuashiria uzinduzi wa machinjio
ya kisasa katika mji mdogo wa Namtumbo akiwa katika ziara ya mkoa wa Ruvuma*
**
* Baadhi ya Viongozi wakishangilia baada ya Waziri Mkuu Mizengo Pinda
kukata utepe*
**
* Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizundua mitambo ya kuzalisha umeme katika
mji mdogo wa Namtumbo akiwa katika ziara ya mkoa wa Ruvuma.*
*-------------------------------------------------
*
*WAZIRI Mkuu wa jamhuri ya muungano wa Tanzania Mi... more »
No comments:
Post a Comment