Mradi huu ni moja ya ahadi alizotoa Rais Kikwete kipindi cha kampeni.CCM OYEE
Wednesday, July 17, 2013
AHADI YA RAIS KIKWETE YA UJENZI WA GATI KISIWANI MAFIA YATEKELEZWA
Mlezi wa CCM mkoa wa Pwani mama Zakhia Meghj akiwa na viongozi wa CCM wa mkoa wa Pwani na wilaya ya Mafia, wakipata maelezo ya maendeleo ya ujenzi wa Gati ya meli kisiwani hapo. Pamoja nae ni mwenyekiti wa CCM mkoa wa Pwani mzee Mwinsheshe Mlao,mbunge wa Mafia Bwana Shah,mjumbe wa kamati ya siasa ya mkoa wa Pwani na na mlezi wa CCM Mafia Bwana Ridhiwan Kikwete na mwenyekiti wa wilaya Bi Arafa Kisera.
Mradi huu ni moja ya ahadi alizotoa Rais Kikwete kipindi cha kampeni.CCM OYEE
TOA MAONI YAKO HAPA CHINI
Mradi huu ni moja ya ahadi alizotoa Rais Kikwete kipindi cha kampeni.CCM OYEE
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment