MAKAMU WA RAIS AZUNGUMZA NA WATANZANIA WAISHIO ABUJA NIGERIA, AONDOKA LEO KUREJEA TANZANIA
**
* Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib
Bilal, akizungumza na baadhi ya Watanzani ya waishio mjini Abuja, wakati
alipokutana nao katika Makazi ya Ubalozi wa Tanzania Nchini Nigeria, jana
Julai 16, 2013 na kufanya nao mazungumzo. Makamu ameondoka leo mjini Abuja
kurejea nchini Tanzania, baada ya kuhudhuria Mkutano wa 12 wa siku mbili wa
Afrika uliokuwa ukijadili magonjwa ya Ukimwi, Kifua Kikuu na Malaria (Abuja
+12) uliofunguliwa na Rais wa Nigeria Dkt. Goodluck Jonathan, Julai 15-16,
2013 mjini Abuja Nigeria na kuhudhuriwa na Viongozi mbalimbali w... more »
No comments:
Post a Comment