skip to main |
skip to sidebar
SERIKALI YAKABIDHIWA RASMI MAJENGO YA LAW SCHOOL OF TANZANIA
MUHIDIN MICHUZI at MICHUZI -
9 minutes ago
**
* Naibu Meneja wa Kampuni ya Beijing Construction Engineering Group
iliyokuwa ikijenga majengo ya Taasisi ya Mafunzo ya Uanasheria kwa Vitendo
Tanzania (Law School of Tanzania) Bw. Zhang Chengwei akitia saini hati ya
makabidhiano kabla ya kukabidhi majengo hayo kwa Kaimu Katibu Mkuu wa
Wizara ya Katiba na Sheria (hayupo pichani).*
**
* Kaimu Katibu Mkuu wa Wizara ya Katiba na Sheria Bibi Christina Sonyi
akitia saini hati ya makabidhiano ya majengo ya Law School of Tanzania
wakati wa shughuli ya makabidhiano ya majengo hayo iliyofanyika jana Julai
16,2013 jijini Dar Es Salaam. Wana..
TOA MAONI YAKO HAPA CHINI
No comments:
Post a Comment