skip to main |
skip to sidebar
LEO LEO Basi la Simba Mtoto lagongana uso kwa uso na lori Daraja la Wami leo.
*Basi la Simba mtoto linalofanya safari zake kati ya Dar na Tanga likiwa
limegongana uso kwa uso na Lori la mizigo katikati ya Daraja la Mto Wami
mkoani Pwani,dereva wa lori hilo amefariki papo hapo na wengine
kujeruhiwa.tutaendelea kupeana taarifa zaidi hapo baadae.*
*Baadhi ya wasamaria wema wakijaribu kumchomoa Dereva wa Lori hilo
aliyekuwa amebanwa vibaya,pichani ambalo namba zake za usajili
hazikufahamika mara moja.*
TOA MAONI YAKO HAPA CHINI
No comments:
Post a Comment