Mkurugenzi Shirika la Utangazaji Tanzania (TBC) Clement
Mshana akitoa maelezo mafupi kabla ya kumkaribisha mgeni rasmi kwajili ya
kuzindua rasmi Tamthiliya ya Mapenzi na Furaha ya Kijana (Jin Tai Lang)
uliofanyika leo katika Viwanja vya TBC jijini Dar es Salaam.
Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Elisante Ole Gabriel akitoa hotuba yake mbele ya viongozi mbalimbali wakati wa Uzinduzi wa Tamthiliya ya Mapenzi na Furaha ya Kijana (Jin Tai Lang) uliofanyika leo katika Viwanja vya TBC jijini Dar es Salaam
Mkurugenzi Shirika la Utangazaji Tanzania (TBC) Clement Mshana (kushoto) pamoja na Mshauri wa mambo ya Utamaduni Bw. Lzu Dong (kulia) wakipeana zawadi mara baada ya Uzinduzi wa Tamthiliya ya Mapenzi na Furaha ya Kijana (Jin Tai Lang) uliofanyika leo katika Viwanja vya TBC jijini Dar es Salaam

Mshana akipewa zawadi
Wadaiu waliohudhuria
Wadau waliohudhuria

Mtendaji Mkuu Kampuni ya Star Media (T) Ltd Bw. Jack Czhou
akieleza jambo wakati wa Uzinduzi wa Tamthiliya ya Mapenzi na Furaha ya Kijana
(Jin Tai Lang) uliofanyika leo katika Viwanja vya TBC jijini Dar es Salaam.
Baadhi ya wafanyakazi toka Kampuni ya Star Media (T0 Ltd na
wasanii waliotumika kuweka lugha ya Kiswahili katika Tamthiliya ya Furaha ya
Kijana (Jin Tai Lang) wakisikiliza kwa makini hotuba toka kwa mgeni rasmi leo wakati
wa Uzinduzi wa Tamthiliya ya Mapenzi na Furaha ya Kijana (Jin Tai Lang)
uliofanyika leo katika Viwanja vya TBC jijini Dar es Salaam.
Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na
Michezo Elisante Ole Gabriel akifurahi mara baada ya kukata utepe ikiwa ishara
ya kukamilika kwa Uzinduzi wa Tamthiliya ya Mapenzi na Furaha ya Kijana (Jin
Tai Lang) uliofanyika leo katika Viwanja vya TBC jijini Dar es Salaam.
Mkurugenzi Shirika la Utangazaji Tanzania (TBC) Clement Mshana (kushoto) pamoja na Mshauri wa mambo ya Utamaduni Bw. Lzu Dong (kulia) wakipeana zawadi mara baada ya Uzinduzi wa Tamthiliya ya Mapenzi na Furaha ya Kijana (Jin Tai Lang) uliofanyika leo katika Viwanja vya TBC jijini Dar es Salaam
Mkurugenzi Shirika la Utangazaji Tanzania (TBC) Clement Mshana (kushoto) pamoja na Mshauri wa mambo ya Utamaduni Bw. Lzu Dong (kulia) wakipeana zawadi mara baada ya Uzinduzi wa Tamthiliya ya Mapenzi na Furaha ya Kijana (Jin Tai Lang) uliofanyika leo katika Viwanja vya TBC jijini Dar es Salaam
Mshana akipewa zawadi
Wadaiu waliohudhuria
Wadau waliohudhuria
Picha ya pamoja ya mgeni rasmi, Watendaji na Viongozi
mbalimbali mara baada ya Uzinduzi wa Tamthiliya ya Mapenzi na Furaha ya Kijana
(Jin Tai Lang) uliofanyika leo
No comments:
Post a Comment