Rais
Dkt Jakaya Mrisho Kikwete akizungumza na Sheikh Mohamed Rukara, Mjumbe
maalum wa Rais wa Burundi Mhe Pierre Nkurunzinza, alipofika kuwasilisha
ujumbe wa Rais huyo kwa Rais Kikwete, Ikulu jijini Dar es salaa leo
April 29, 2014
Rais
Dkt Jakaya Mrisho Kikwete akipokea toka kwa Sheikh Mohamed Rukara,
ujumbe maalum wa Rais wa Burundi Mhe Pierre Nkurunzinza,
Rais
Dkt Jakaya Mrisho Kikwete akipokea zawadi ya kalenda kutoka kwa Msajili
wa Baraza la Uuguzi na Ukunga Tanzania, Mama Lena Mfalila wakati
alipokutana na uongozi wa baraza hilo Ikulu jijini Dar es salaam leo
April 29, 2014. Kulia ni Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii Dkt Seif S.
Rashid.
Rais Dkt Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika picha ya pamoja na Viongozi wa Msajili wa Baraza la Uuguzi na Ukunga Tanzania
Rais Dkt jakaya Mrisho Kikwete akihutubia wakati akizindua rasmi rasmi
mpango wa Mkoba Private Equity Fund katika hoteli ya Golden Tulip
jijini Dar es salaam leo April 29, 2014
Rais Dkt jakaya Mrisho Kikwete akihutubia wakati akizindua rasmi rasmi
mpango wa Mkoba Private Equity Fund katika hoteli ya Golden Tulip
jijini Dar es salaam leo April 29, 2014
Rais
Dkt jakaya Mrisho Kikwete akihutubia wakati akizindua rasmi rasmi
mpango wa Mkoba Private Equity Fund katika hoteli ya Golden Tulip jijini
Dar es salaam leo April 29, 2014
Rais
Dkt jakaya Mrisho Kikwete akikata utepe kama alama ya kuzindua rasmi
rasmi mpango wa Mkoba Private Equity Fund katika hoteli ya Golden Tulip
jijini Dar es salaam leo April 29, 2014
Rais
Dkt jakaya Mrisho Kikwete akikata utepe kama alama ya kuzindua rasmi
rasmi mpango wa Mkoba Private Equity Fund katika hoteli ya Golden Tulip
jijini Dar es salaam leo April 29, 2014
Rais
Dkt jakaya Mrisho Kikwete akikata utepe kama alama ya kuzindua rasmi
rasmi mpango wa Mkoba Private Equity Fund katika hoteli ya Golden Tulip
jijini Dar es salaam leo April 29, 2014. PICHA ZOTE NA IKULU
No comments:
Post a Comment