SERIKALI KUSHUGHULIKIA MAPENDEKEZO TOZO KODI ZA SIMU
**
*Waziri wa Fedha Dk. William Mgimwa akisisitiza jambo juu ya tozo la kodi
katika laini za simu wakati alipokutana na waandishi wa habari leo jijini
Dar es Salaam. (Picha na Frank Shija – Maelezo)*
*
*
*Na. Eliphace Marwa (MAELEZO) *
*
*
*Serikali yawataka wananchi kutokuwa na wasiwasi kuhusiana na mpango wa
ukusanyaji wa kodi ya laini za simu. *
*
*
*Kauli hiyo imetolewa na Waziri wa Fedha Dk. William Mgimwa alipokuwa
akizungumza na waandishi wa habari jana jijini Dar es Salaam. *
*
*
*Mgimwa amesema kuwa Serikali inaendelea kukutana na wadau mbalimbali ili
kujadili na kupokea mapen... more »




No comments:
Post a Comment