RAIS KIKWETE AWAONGOZA WANANCHI KUAGA NA KUTOA HESHIMA ZA MWISHO KWA MIILI YA ASKARI 7 WALIOFARIKI HUKO DARFUR,SUDANI
**
* Rais Jakaya Kikwete, mkewe Mama Salma, wakitoa heshima za mwisho mbele ya
majeneza yenye miili ya Askari wa Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania
(JWTZ) waliopoteza maisha Jimboni Darfur nchini Sudan Julai 13, 2013
kutokana na shambulizi la ghafla, wakati wa zoezi la kutoka heshima zao za
mwisho kuaga miili ya askari hao leo katika Uwanja wa Wizara ya Ulinzi
Upanga jijini Dar es Salaam.*
**
* Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib
Bilal, akitoa heshima za mwisho mbele ya majeneza yenye miili ya Askari wa
Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania ... more »




No comments:
Post a Comment