Pamoja na kwamba ujio wake ulifanya Tanzania kuingia kwenye headlines za vyombo vya habari vya kimataifa mara nyingi mfululizo kuliko hata ujio ya Rais Bush kipindi hicho, Obama bado ameendelea kuongelewa kwenye mitandao ya kijamii kwenye page za Watanzania ambao wengine wao pia wamekua wakiutumia ujio huo kwenye utani wa kufananisha na kitu fulani.
Wenye uzito uliopitilizwa waitwa kufanyiwa matibabu
11 hours ago





No comments:
Post a Comment