Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akitambulishwa kwa wajumbe wa Chama cha Makampuni
ya Simu za mkononi na Bw. Manoj Kohli wa Airtel ambaye pia ni
Mkurugenzi wa Pamoja wa chama hicho alipokutana nao kwa mazungumzo Ikulu
jijini Dar es salaam leo Julai 23, 2013.
Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na Bi Beatrice Singano, mmoja wa
wajumbe wa Chama cha Makampuni ya Simu za mkononi alipokutana nao kwa
mazungumzo Ikulu jijini Dar es salaam leo Julai 23, 2013.
Rais
Jakaya Mrisho Kikwete katika picha ya pamoja na maofisa waandamizi wa
Wizara ya pamoja na wajumbe wa Chama cha Makampuni ya Simu za mkononi
alipokutana nao kwa mazungumzo Ikulu jijini Dar es salaam leo Julai 23,
2013.PICHA NA IKULU







No comments:
Post a Comment