Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akimkaribisha Waziri Mkuu wa zamani wa Uingereza
Mhe. Tony Blair Ikulu jijini Dar es salaam leo Julai 23, 2013.
Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akimwonesha mandhari mbalimbali Waziri Mkuu wa
zamani wa Uingereza Mhe. Tony Blair Ikulu jijini Dar es salaam leo Julai
23, 2013.
Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akizungumza na Waziri Mkuu wa zamani wa Uingereza
Mhe. Tony Blair Ikulu jijini Dar es salaam leo Julai 23, 2013.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa na Waziri Mkuu wa zamani wa Uingereza Mhe Tony Blair na mkewe Cherrie Blair
alipokutana nao Ikulu jijini Dar es salaam leo Julai 23, 2013.PICHA NA IKULU.
alipokutana nao Ikulu jijini Dar es salaam leo Julai 23, 2013.PICHA NA IKULU.

No comments:
Post a Comment