 |
Baadhi ya askari wa kulinda amani wa Umoja wa Mataifa walioshambuliwa Julai 13, 2013 wakiwa katika hospitali ya UNAMID huko Nyala, Kusini mwa Darfur. Katika shambulio hilo askari saba wa Tanzania walipoteza maisha. Hawa ni miongoni mwa askari 17 waliojeruhiwa katika shambulio hilo, wakiwemo askari wanawake wawili ambao ni washauri wa Polisi. Kwa mujibu wa habari kutoka hospitalini hapo, hali za majeruhi zinaendelea vyema
|
Gari walilokuwa wakisafiria askari hao wakati wa shambulio
Baadhi ya majeruhi wakiwa hospitalini
Baadhi ya sakari wa kulinda amani kutoka Tanzania wakiwa Darfur
Gari lililoshambuliwa
Mmoja wa majeruhi akiwa hospitali
Wakuu wa UNAMID Darfur wakimpa pole mmoja wa askari mwanamke aliyejeruhiwa
Wakuu wa UNAMID wakitembelea majeruhi
Gari lililoshambuliwa. Picha zote na UNAMID
TOA MAONI YAKO HAPA CHINI
No comments:
Post a Comment