skip to main |
skip to sidebar
RAGE NA UCHAWI WA MDOMO KTK MPIRA RAGE
MUHIDIN MICHUZI at MICHUZI -
11 hours ago
**
* Mwenyekiti wa Simba, Ismail Aden Rage akifafanua jambo wakati wa Mkutano
Mkuu wa Simba wa kujadili maendeleo ya klabu hiyo ulioanza saa nne kamili
na kumalizika saa tano kamili katika Bwalo la Maofisa wa Polisi jijini Dar
es Salaam leo, ambapo wanachama zaidi ya 700 walihudhuria mkutano huo.*
**
*Mwanachama wa Simba kutoka Iringa akiuliza swali katika mkutano huo.*
**
* Mwenyekiti wa zamani wa Simba, Hassan Dalali (kushoto) akifuatilia
mkutano huo.*
**
* Baadhi ya wanachama wa Simba wakiwa katika mkutano huo.*
*
*
*BOFYA HAPA KWA PICHA ZAIDI*
TOA MAONI YAKO HAPA CHINI
No comments:
Post a Comment