RAIS KIKWETE AHUDHURIA MKUTANO WA SIKU MOJA WA TROIKA YA SADC JIJINI PRETORIA, AFRIKA KUSINI
**
*Rais Jakaya Mrisho Kikwete akijibu maswali toka kwa wanahabari wakati wa
mkutano wa pamoja na waandishi wa habari mara baada ya mkutano wa siku moja
wa Kamati ya Troika ya Siasa na Usalama ya Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa
Afrika (SADC Organ Troika on Politics, Defence and Security Cooperation)
katika jumba la wageni wa Rais la Sefako Makgatho jijini Pretoria, Afrika
Kusini, Jumamosi usiku. Kutoka kulia ni Rais wa Afrika Kusini Mhe Jacob
Zuma, Rais wa Msumbiji ambaye pia ni mwenyekiti wa SADC Mhe Armando
Guebuza, Katibu Mtendajji wa SADC Dkt Tomaz Augusto Salomão na Waziri wa
M... more »
SERENGETI FREIGHT WAAMUA KUFANYA KWELI, MZEE WA KAZI ARUKA NA PIPA LA KQ KUJIONEA MAMBO YALIVYO MSWANO
***BAADA YA KUONA SUALA LA KUSAFIRISHA VIFURUSHI KWENDA NAIROBI NA DAR
LIMEKUWA GUMU KWA WATANZANIA NA WAKENYA WAISHIO UK, WAZEE WA KAZI WALIAMUA
KULITAFUTIA UFUMBUZI AMBAPO MZEE WA KAZI CHRIS LUKOSI ALISAFIRI KWENDA
NAIROBI NA DAR ES SALAAM MWISHO MWA MWEZI WA SITA KUHAKIKISHA KUWA
SHUGHULIA ZA MIZIGO ZINABORESHWA NA KUHAKIKISHA WANASHIRIKIANA NA MAWAKALA
AMBAO WAKO KIKAZI ZAIDI.*
*KUANZIA SASA MIZIGO YOTE YA SERENGETI ITAKUWA INASAFIRISHWA NA KENYA
AIRWAYS ILI ISICHELEWE NJIANI*
*PICHANI MZEE WA KAZI ALIPEWA NAFASI YA KUSAFIRI NA MZIGO KUTOKA LONDON
MPAKA DAR ES SALAAM ILI KUJIO... more »
wadau walia na 'tigo fasta' baada ya mfanyabiashara kuuwawa magomeni mapipa
*Mfanyabiashara mmoja ameuwawa na majambazi walokuwa wakitumia usafiri wa
pikipiki maarufu kama Boda Boda huko Magomeni Mapipa jijini Dar es salaam,
karibu na makutano ya mtaa wa Jaribu na Tosheka milango ya saa 4 asubuhi
tarehe 19 July, 2013 siku ya ijumaa na kumpora pesa taslim millioni 8 na
laki 3. *
*Tukio hilo limetokea nyumbani kwake barazani akiwa ametoka bank kuchukua
pesa hizo na kuvamiwa na majambazi hayo. Mfanya biashara huyo mwenye asili
ya kiarabu anaitwa Abdul Hakim Salmin na alikuwa maarufu sana katiko maeneo
hayo. *
* Marehemu amezikwa katika makaburi ya Kisutu na ame... more »
2012 MARATHON OLYMPIC CHAMPION BARES ALL TO SPORAH SHOW
**
*THE 2012 OLYMPIC CHAMPION IN THE MARATHON SAYS IT ALL..! Stephen Kiprotich
is a Ugandan long-distance runner, born in Kapchorwa District. He is the
2012 Olympic champion in the marathon, with a winning time of 2:08:01 in
hot, sunny, and humid conditions. *
*MORE ON www.sporah.com*
Waziri Chikawe azindua Kitabu kiitwacho (Mabadiliko ya Katiba na Hatima ya Tanzania)
**
*Waziri wa Katiba na Sheria Mhe. Mathias Chikawe (kulia)akikata utepe
kuzindua rasmi kitabu hicho(katikati) Mtunzi wa kitabu cha (Mabadiko ya
Katiba na Hatima na Tanzania) Luten Kanali Lindwino Simon Mgumba(kushoto)
Waziri wa mambo ya ndani ya nchi, Mhe Emmanuel Nchimbi. *
**
*Waziri wa Katiba na Sheria Mhe. Mthias Chikawe (kulia)akionesha kitabu
hicho mara baada ya kukizindua(katikati) Mtunzi wa kitabu cha (Mabadiko ya
Katiba na Hatima na Tanzania) Luten Kanali Lindwino Simon Mgumba(kushoto)
Waziri wa mambo ya ndani ya nchi, Mhe Emmanuel Nchimbi. *
**
*Waandishi wa habari wakisiki... more »
Kocha Bert Trautmann na soka la Tanzania, alituwekea msingi…..
*Na Israel saria*
*WIKI hii ulimwengu wa soka umempoteza mmoja wa wataalam wa soka
waliobobea, Mjerumani Bert Trautmann (pichani) aliyefariki dunia Ijumaa ya
Julai 19, 2013 jijini Valencia nchiniHispania alikoamua kuweka makao yake
baada ya kustaafu shughuli za soka. Amefariki akiwa na umri wa miaka 89
akikaribia miaka 90 kwani alizaliwa jijini Bremen, Ujerumani Oktoba 22,
1923. Msiba huu unatugusa Watanzania kwa sababu mtaalam huyo alikuwepo
nchini mwetu mwaka 1975 katika kutimiza mpango maalum wa FIFA wa kutuma
wataalam wake kuinua soka kwenye nchi zilizokuwa chini kisoka.**Alianzi... more »
MAALIM SEIF ZIARANI MKOA WA KUSINI UNGUJA
*Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Maalim Seif Sharif Hamad, leo
amefanya ziara ya kuwatembelea na kuwafariji wagonjwa na wafiwa katika Mkoa
wa Kusini Unguja. *
*
*
*Katika ziara hiyo Maalim Seif amewaombea wagonjwa hao ambao ni watu wazima
wapone haraka, pamoja na kuwataka wafiwa kuwa na subra katika kipindi hiki
cha misiba inayowakabili. *
*
*
*Wakizungumza kwa nyakati tofauti, wagonjwa hao wamemshukuru Makamu wa
Kwanza wa Rais kwa kuandaa ziara hiyo ya kuwafariji, ambayo wamesema
inathibitisha kuwepo na upendo na ukaribu baina ya viongozi na wananchi. *
*
*
*Jumla ya wagonjwa na... more »
Vodacom Foundation yaendelea kuwa karibu na jamii katika kipindi hiki cha mfungo mtukufu wa Ramadhan
**
*Mkuu wa Mkoa wa Mwanza Evarest Ndikilo akishirikiana na Mfanyakazi wa
Vodacom Mwanza Jumao Khamis kukabidhi kitoweo cha mbuzi kwa wanafunzi wa
moja ya madrasa za jijini humo zilizonufaika na sadaka ya vyakula kutoka
Vodacom Foundation kupitia kampeni ya Pamoja na Vodacom ya kufuturisha na
kusaidia madarasa na Makundi mengine ya wasiojiweza wakati wa mfungo wa
mwezi mtukufu wa Ramadhani.Hafla hiyo ilihusisha pia futari kwa wanafunzi
wa madrasa na jumuiya za kiislamu za jijini Mwanza.Kulia ni Sheikh Mkuu wa
Mkoa wa Mwanza Sheikh Salum Fereji. *
**
*Mkuu wa Mkoa wa Mwanza Mhandisi E... more »
ZIARA YA WAZIRI MKUU,MIZENGO PINDA SONGEA MJINI
**
*Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akisalimiana na baadhi ya wafanyakazi wa Idara
ya uhamiaji wakati alipowasili kwenye jengo la Idara hiyo mjini Songea
kuweka jiwe la msingi akiwa katika ziara ya mkoa wa Ruvuma Julai 20, 2013.*
**
*Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akikagua mabwawa ya kufugia samaki wakati
alipotembelea Kituo cha Maendeleo ya Ufugaji Samaki cha Ruhila kilichopo
mjini Songea. Alikuwa katika ziara ya mkoa wa Ruvuma Julai 20, 2013.*
**
*Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akitazama chakula cha samaki wakati
alipotembelea Kituo cha Maendeleo ya Ufugaji wa Samaki cha Ruhila kilichopo
Songea ... more »
USALAMA NI MTAJI WA MAENDELEO - IGP MWEMA
**
*Na. Tamimu Adam- Jeshi la Polisi*
*
*
*Vikundi vya ulinzi shirikishi kote nchini vimetakiwa kuwa makini na
kuzingatia madili katika kutekeleza majukumu yao ya kuimarisha ulinzi na
usalama katika maeneo yao ili kupunguza uhalifu hapa nchini. *
*
*
*Hayo yalisemwa na Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini IGP Said Mwema wakati
akijibu swali kuhusu mafanikio yaliyopatikana tangu kuanzishwa kwa program
ya Polisi jamii na Ulinzi shirikishi ambapo alibainisha kuwa mpaka hivi
sasa vikundi hivyo vimefikia zaidi ya 4500 nchi nzima *
*
*
*IGP Mwema alijibu swali hilo wakati alipokutana na waandishi ... more »
WABUKINI KUCHEZESHA STAR, UGANDA
**
*Shirikisho la Mpira wa Miguu Afrika (CAF) limeteua waamuzi kutoka
Madagascar kuchezesha mechi kati ya Tanzania (Taifa Stars) na Uganda (The
Cranes) itakayochezwa Jumamosi (Julai 27 mwaka huu) Uwanja wa Mandela
ulioko Namboole nje kidogo ya Jiji la Kampala.*
*Waamuzi wataongozwa na Kanoso Abdoul Ohabee wakati mwamuzi msaidizi namba
moja ni Andirvoavonjy Pierre Jean Eric. Mwamuzi msaidizi namba mbili ni
Jinoro Velomanana Ferdinand huku Andriamiharisoa Hubert Marie Bruno akiwa
mwamuzi wa mezani (fourth official).*
*Kamishna wa mechi hiyo ya marudiano ya raundi ya mwisho kuwania tik... more »
mfano wa kuigwa: mtanange kati ya wachungaji na mashekhe
**
*Hii ni game ya soccer kati ya viongozi wa dini ya Kiislam (Imams) na
kikstrotu (Mapadre) iliyofanyoka huko Yorkshire, UK. Viongozi hawa
hawakuishia kuvaa majoho yao na kuhubiri bali waliamua kujumuika na
kucheza game kwa ajili ya Charity na waliweza kuc kiashangisha i cha Paundi
elfu 5 za kiingereza*
*Imagine tungekuwa nao viongozi wetu wa dini kwenye jogging clubs na
wakaonyesha wao wanavyoshirikiana na jamii katika nyanja mbalimbali. Hii ni
changamoto sana kwetu.*
*
*
*Tafadhalini toeni maoni yenu kuhusu hili.*
*MDAU UK*
URA YAIFUNGA SIMBA 2-1
**
* Mshambuliaji wa Simba, Marcel Boniventure akichuana na beki wa URA ya
Uganda, Walulya Derrick katika mchezo wa kimatifa wa kirafiki uliofanyika
le okwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam. URA imeshinda 2-1. (Picha
na Habari Mseto Blog)*
**
*Mshambuliaji wa Simba, Marcel Boniventure akitafuta mbinu za kumtoka beki
wa URA ya Uganda, Walulya Derrick.*
**
*Mshambuliaji wa Simba, Betram Mombeki akishangilia bao pekee aliloifungia
timu yake katika mchezo wa Kimataifa wa Kirafiki dhidi ya URA ya Uganda. *
**
* Heka heka katika lango la URA. *
**
* Beki wa URA, Mugabi Jonathan akito... more »
MEYA WA ILALA AFANYA ZIARA KATIKA MASOKO YA ILALA NA BUGURUNI KUKAGUA BEI ZA BIDHAA KIPINDI HIKI CHA MFUNGO WA RAMADHAN
*[image: IMG_9312]*
*Mstahiki Meya wa Manispaa ya Ilala Mh. Jerry Silaa ( wa nne kulia)akipata
maelezo kutoka kwa mmoja wa wafanyabiashara wa mihogo katika soko la Ilala
alipofanya ziara rasmi katika masoko ya Buguruni na Ilala kuangalia
utofauti wa bei za bidhaa katika kipindi hiki cha mwezi mtukufu wa
Ramadhani. *
*Mstahiki Meya aliwaasa wafanyabiashara kutokupandisha bei ya bidhaa
mbalimbali wakati mwezi mtukufu wa Ramadhani ili kuwawezesha Waislamu wa
mkoa wa Dar kuwa na mfungo mwema na wao pia kupata Thawabu kwa Mwenyezi
Mungu kwani watawezesha hata wale wenye kipato cha chin... more »




No comments:
Post a Comment