Pages

Ads 468x60px

Saturday, July 20, 2013

MAMA SALMA KIKWETE NI MWANAMKE WA MFANO BORA AFRICA

Mama Kikwete awataka wanawake kutobaguana kutokana na totauti zao za vyama vya siasa

MUHIDIN MICHUZI at MICHUZI - 15 hours ago
** *Na Anna Nkinda – Maelezo * * * *Mke wa Rais Mama Salma Kikwete amewataka wanawake wa dini zote nchini kutokubaguana kutokana na itikadi zao za vyama vya siasa bali wawe mstari wa mbele kuhubiri amani na upendo. * * * *Mama Kikwete aliyasema hayo jana wakati akiwafutarisha wanawake wa dini mbalimbali Ikulu jijini Dar es Salaam. * * * *Mama Kikwete alisema kuwa ukosefu wa amani ukitokea katika nchi wanawake na watoto ndiyo wahanga wakubwa hivyo basi wasikubali watu kuwadanganya bali wawe na msimamo na umoja ili waweze kuilinda amani ambayo ndiyo silaha pekee ya kuwaletea ukombozi il... more »
TOA MAONI YAKO HAPA CHINI

No comments:

Post a Comment