MUHIDIN MICHUZI at MICHUZI - 19 seconds ago
** * Akisulubiwa kwa bakora na mmoja wa watu wenye hasira.* *MTU mmoja aliyetuhumiwa kuwa ni mwizi amenusurika kufa baada ya kundi la wananchi kumpa kipigo cha maana, leo mchana katika eneo la Mbezi-Darajani, Kawe mjini Dar es Salaam. Mtu huyo ambaye jina lake halikueza kupatikana mara moja inadaiwa alikutwa akiruka geti kuingia ndani kwenye nyumba ya mkazi moja wa eneo hilo. Picha zifuatazo ni baadhi ya matukio wakati mtuhumiwa huyo alipokuwa akipata kichapo hicho. * ** * Akisulubiwa kwa bakora na mmoja wa wananchi hao wenye hasira.* ** * Mtuhumiwa wa wizi akiomba kusamehewa wakati m... more »
Wenye uzito uliopitilizwa waitwa kufanyiwa matibabu
11 hours ago




No comments:
Post a Comment