Pages

Ads 468x60px

Sunday, July 28, 2013

Mama Kikwete awataka wakazi wa mkoa wa Lindi kuishi maisha ya upendo na ushirikiano

MUHIDIN MICHUZI at MICHUZI - 5 hours ago ** *Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akizungumza na baadhi ya wananchi wa Lindi aliowaalika kwenye futari mara baada ya kuwafuturisha nyumbani kwake,Lindi Mjini jana. * ** *Mke wa Rais Mama Salma Kkwete akisalimiana na baadhi ya akinamama aliofuturu nao nyumbani kwake Lindi Mjini,jana. * ** *Baadhi ya wananchi wa Lindi Mjini walioalikwa kufuturu nyumbani kwa Mke wa Rais Mama Salma Kikwete wakisikiliza mawaidha yaliyokuwa yakitolewa baada kufuturu. * ** *Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akiaagana na Shehe Mkuu wa Mkuu wa Mkoa wa Lindi Al Haj Mohamed Said Mshangani baada ya kufuturu nyumban... more »
TOA MAONI YAKO HAPA CHINI

No comments:

Post a Comment