Monday, July 29, 2013
Tunasema Maneno ya Shekh Mkuu Yatiliwe Maanani : CHADEMA UK
MUHIDIN MICHUZI at MICHUZI - 17 minutes ago
*Imekuwa ni mazoea kwa jamii yetu kupuuza na kutokuzipa uzito kauli na mawazo yanayolenga kujenga taifa letu. Badala yake tumekuwa tukitumia muda mwingi kushabikia na kuongelea mambo yasiyo na tija kwa taifa. Kwa sababu hii CHADEMA UK tuko mstari wa mbele kuzipigia mbiu na kuzipa umuhimu na uzito wake kauli za waTanzania zenye nia ya kulijenga taifa tukianza na kauli nzito iliyotolewa na Shekh Mkuu wa Baraza la Waislamu nchini (BAKWATA). * *Kwanza kabisa Tunampongeza kwa dhati kabisa kwa ujasiri mkubwa kuzungumzia maswala mabayo viongozi wetu wengi katika ngazi mbali mabli kitiaifa ... more »
Kijitonyama Veterans Vs Golden Bush Veterans ndani ya uwanja wa Bora kijitonyama jijini dar
MUHIDIN MICHUZI at MICHUZI - 1 hour ago
** *Baada ya tambo za hapa na pale hatimaye vigogo wa soka la wazee hapa Dar es Salaam wanategemea kukutana siku ya jumamosi katika uwanja wa bora, pale kijitonyama, ni mechi yenye kila aina ufundi maana timu hizi mbili zinasifa tofauti kabisa. * * * *Kijitonyama ni timu maarufu sana kwenye vyombo vya habari huku Golden Bush ikiwa na sifa ya kutoa vipigo kwa timu pinzani, ni timu pekee iliyopoteza mechi chache sana toka ianzishwe. Ni kutokana na umuhimu wa game hii ya jumapili tunalazimika kuweka Camp Bamba Beach ili timu iwe sawasawa kabisa. * * * *Tumewatafuta kwa muda mrefu sana n... more »
TOA MAONI YAKO HAPA CHINI
Subscribe to:
Post Comments (Atom)




No comments:
Post a Comment