TANZANIA YAPOKEA MKOPO WA BILIONI 87 ZA UJENZI WA VITUO VYA KUHIFADHIA VITAMBULISHO VYA TAIFA KUTOKA BENKI YA EXPORT IMPORT YA KOREA Posted: 18 Jul 2013 01:26 PM PDT
**
*Waziri wa Fedha Dkt.William Mgimwa na Mwenyekiti na Rais wa Benki ya
Export Import ya Korea wakisaini mkataba wa mkopo kwa ajili ya kujenga
vituo vya kuhifadhi vitambulisho vya Taifa leo jijini Dar Es Salaam.*
**
*Waziri wa Fedha Dk.William Mgimwa na Mwenyekiti na Rais wa Benki ya Export
Import ya Korea wakiangalia mikataba ya mkopo baada ya kusaini kwa ajili ya
kujenga vituo vya kuhifadhi vitambulisho vya Taifa leo jijini Dar Es Salaam.
*
**
*Waziri wa Fedha Dk.William Mgimwa (kushoto)akimpa mkono wa shukrani
Mwenyekiti na Rais wa Benki ya Export Import ya Korea baada ya kusaini
... more »
Balozi Mulamula awasilisha hati za utambulisho kwa rais obama white house,APOKELEWA KWA SHANGWE WASHINGTON DC
**
*Balozi wa Tanzania nchini Marekani Mhe Liberata Mulamula akiwa na Rais
Barack Obama mara baada ya kuwasilisha hati ya utambulisho katika Ikulu ya
nchi hiyo maarufu kama White House jijini Washington DC *
*[image: IMG_3118]*
*Mama Balozi Liberata Mula mula akipokelewa na mama Munanka baada ya
kukutana na kujitambulisha kwa rais Obama huko White house alhamisi. Balozi
Mula mula alitoa shukrani za dhati kwa mabalozi wenzake waliofika
kumpongeza pamoja na Mh.EL mbunge wa Monduli na watanzania wote waliokuwapo
kwa kuhudhuria hafla hiyo. Pamoja na mambo mengine alieleza pia kushangazwa ... more »
President Kikwete meets Standard Chartered CEO Liz Lloyd at Dar es Salaam State House
**
*President Dr. Jakaya Mrisho Kikwete in conversation with Standard
Chartered Bank Chief executive Officer(CEO) Liz Lloyd at Dar es Salaam
State House this afternoon. On the left is Head of Corporate Affairs
Ms.Juanita Mramba. *
**
*President Dr.Jakaya Mrisho Kikwete pose for a photograph with the Standard
Chartered Bank Chief Executive Officer(CEO) Liz Lloyd(left) at State House
Dar es Salaam this afternoon. On the right is the bank’s Head of Corporate
Affairs Ms. Juanita Mramba(photos by Freddy Maro) *
WENGI WAJITOKEZA MAZISHI YA MAREHEMU DAVID MAJEBELLE
**
* Mwili wa marehemu David majebelle ukiwasili nyumbani kwake Sinza jijini
Dar es Salaam.*
**
* Jeneza lililokuwa na mwili wa marehemu David Majebelle likiwa nyumbani
kwake Sinza jijini Dar es Salaam wakati wa ibada.*
**
* Ibada ya kumuimbea marehemu David Majebelle ikiendelea kanisani.*
**
* Mungu ailaze roho ya marehemu mahali pema peponi.*
**
* Jeneza lililokuwa na mwili wa marehemu David Majebelle ukishushwa
kaburini.*
**
*Makamu Mwenyekiti wa CCM (Bara), Philip Mangula (kushoto), akiweka shada
la maua kwenye kaburi la marehemu David Michael Majebele, wakati wa mazishi
yake yaliy... more »
SAMSUNG YAJA NA MBINU MPYA YA KUEPUKA BIDHAA FEKI YA PROGRAMU YA E-WARRANT
**
* Meneja mauzo na Usambazaji wa Kampuni ya Samsung,Sylvester Manyara (wa
pili kulia) akimpigia simu mshindi wa TV ya Samsung nchi 32 wakati wa
kucheza droo kwa wateja wa kila mwezi wa bidhaa za kampuni hiyo,ambapo mkazi
wa Dar es Saalaam, Goodluck Mumvuri alijishindia.Kutoka kulia ni Kutoka
kushoto ni Meneja wa Tawi la Samsung Quality Center, Jafari Adam,Mwakilishi
wa Bahati na sibu ya Taifa,Mrisho Milao na Mkaguzi wa bidhaa za
Samsung,Sadic Abbas.*
**
* Meneja mauzo na Usambazaji wa Kampuni ya Samsung,Sylvester Manyara
(katikati) na Mkaguzi wa bidhaa za Samsung,Sadic Abbas wa... more »
KWIECO WAFANYA MKUTANO MKUU MKOANI KILIMANJARO
**
*Wajumbe wa mkutano mkuu wa shirika lisilo la kiserikali linaloshughulika
na maswala ya jinsia na wanawake mkoani Kilimanjaro, (KWIECO) wakifanya
sala kabla ya kuanza kwa mkutano mku wa shirika hilo. *
**
*Mwenyekiti wa bodi ya wakurugenzi wa shirika lisilo la kiserikali
linaloshughulika na maswala ya jinsia na wanawake mkoani Kilimanjaro,
(KWIECO) Clement Kwayu akizungumza wakati wa mkutano mkuu wa shirika hilo. *
**
*Mkurugenzi wa shirika lisilo la kiserikali linaloshughulika na maswala ya
jinsia na wanawake mkoani Kilimanjaro, (KWIECO) Elizabeth Minde akizungumza
wakati wa mkuta... more »
TAASISI YA MISA NA UBALOZI WA CANADA WAWAPIGA MSASA WAANDISHI WA HABARI NCHINI
**
*MWENYEKITI wa Taasisi ya Habari Kusini mwa Afrika kanda ya Tanzania
(MISATAN), Mohammed Tibanyendera akizungumza muda mfupi kabla mkaribisha
Balozi wa Cananda Nchini Tanzania, Alexandre Leveque kufungua mafunzo ya
Waandishi wa Habari wa Tanzania kutoka vyombo mbali mbali yaliyoandaliwa na
MISATAN kwa kushirikiana na Ubalozi wa Canada Nchini ,mafunzo hayo
yalifanyika katika kituo cha British Council Jijini Dar es Salaam. *
**
*Balozi wa Canada Nchini Tanzania, Alexandre Leveque akifungua mafunzo ya
siku moja kwa Waandishi wa Habari wa Tanzania kutoka vyombo mbali mbali
yaliyoandal... more »




No comments:
Post a Comment