Pages

Ads 468x60px

Sunday, July 28, 2013

Umoja wa Watanzania Ujerumani (UTU) yaiwakilisha vyema Tanzania katika maonyesho ya "Brüderschaft der völker " mjini Aschaffenburg MUHIDIN MICHUZI at MICHUZI - 5 hours ago *Umoja wa Watanzania ujerumani(UTU) kwa kasi kubwa inaiwakilisha vema Tanzania huko Ughaibuni,kwa kutumia nafasi zote wanazopewa nchi Ujerumani, ni juzi kati tu Umoja huo ulishiriki katika maonyesho ya "Brüderschaft der völker " mjini Aschaffenburg, ambapo wageni wengi walivutiwa sana na shughuli za Umoja huo za kuitangaza Tanzania, Umoja wa watanzania ujerumani (UTU) unatilia mkazo sana katika kuwashawishi wadau wa kimataifa wawekeze katika udumua za jamii kama vile Elimu,Afya n.k Umoja huo umepokea mialiko ya kushiriki maonyesho mengine yakiwemo makubwa kama International African ... more » BONDIA MTANZANIA AMTWANGA MTHAILAND KWA KO YA RAUNDI YA KWANZA MUHIDIN MICHUZI at MICHUZI - 5 hours ago ** *Tanzanian boxer Omari Kimweri 'Lion Boy' is've operations in Australia has continued its rolled through the country after last hit by first round KO boxer Ekkalak Saenchan of Thailand as its 16th game in a fist since Angie being paid in the country.* * * *Boxer, who has proclaimed good to Tanzania International has more the beating that he enderea different boxers when the bank when they meet.* * * *Boxer that he ezaliwa Tanzania in Dar es Salaam in 1982 has had a chat in the country to show a good game you owavutia many citizens of Australia and to be boxing's number one in the... more » ZAIDI YA WANAWAKE 7500 WANUFAIKA NA "MWEI" MKOANI MOROGORO MUHIDIN MICHUZI at MICHUZI - 5 hours ago ** *Baadhi ya wanawake wajasiriamali wadogowadogo wa Tarafa ya Matombo Morogoro vijijini wakipatiwa elimu na wafanyakazi wa Vodacom Tanzania hawapo pichani,kabla ya kupatiwa mikopo yao ya pesa isiyokuwa na riba ya zaidi ya shilingi Milioni 327 iliyotolewa na Vodacom Tanzania kupitia mradi wake wa "MWEI".mikopo hiyo inawawezesha wanawake wajasiriamali wadogowadogo nchini kujiendeleza katika biashara zao,na kurudisha mikopo hiyo kwa njia ya M-PESA. * ** *Mwenyekiti wa kikundi cha tupendane Bi. Rosena Rashid -Mkazi wa Tarafa ya Matombo Morogoro vijijini akisaini kitabu cha orodha ya wak... more » Tanzania Sio Mali ya CCM Wala CHADEMA - Peter Msigwa MUHIDIN MICHUZI at MICHUZI - 5 hours ago Mama Kikwete awataka wakazi wa mkoa wa Lindi kuishi maisha ya upendo na ushirikiano MUHIDIN MICHUZI at MICHUZI - 5 hours ago ** *Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akizungumza na baadhi ya wananchi wa Lindi aliowaalika kwenye futari mara baada ya kuwafuturisha nyumbani kwake,Lindi Mjini jana. * ** *Mke wa Rais Mama Salma Kkwete akisalimiana na baadhi ya akinamama aliofuturu nao nyumbani kwake Lindi Mjini,jana. * ** *Baadhi ya wananchi wa Lindi Mjini walioalikwa kufuturu nyumbani kwa Mke wa Rais Mama Salma Kikwete wakisikiliza mawaidha yaliyokuwa yakitolewa baada kufuturu. * ** *Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akiaagana na Shehe Mkuu wa Mkuu wa Mkoa wa Lindi Al Haj Mohamed Said Mshangani baada ya kufuturu nyumban... more » CHADEMA WASHINGTON DC, MAREKANI YAPATA UONGOZI MPYA MUHIDIN MICHUZI at MICHUZI - 5 hours ago *Kikao cha Viongozi wa Tawi la Chadema Washington DC, Marekani, tarehe 27 July 2013 kimemteua Ndugu Kalley Ammy Pandukizi kuwa Mwenyekiti wa Tawi kuchukua nafasi ya Ndugu Cosmas Wambura.* * * * Awali Ndugu Kalley Pandukizi alikuwa Mwenyekiti wa Kwanza wa Tawi la Chadema DMV linalobeba majimbo matatu ya Washington DC, Maryland na Virginia. Baadae alikuwa Afisa wa Habari wa Tawi na nafasi yake kuchukuliwa na Cosmas Wambura. * * * *Viongozi wengine na nafasi zao ni Katibu wa Tawi niLibearatus Mwang’ombe aliyekuwa katibu wa kwanza wa Tawi, aliyechukua nafasi ya Isidory Lyamuya. * * * ... more » AISHA SURURU FONDITION YATOA MSAADA WA MAGODORO KWA WANAFUNZI WALIOPO MSIKITI WA IDRISA KARIAKOO,JIJINI DAR MUHIDIN MICHUZI at MICHUZI - 6 hours ago ***Mkurugenzi Mtendaji wa Aisha Sururu Fondition, Bi. Aisha Sururu (kulia) akimkabizi mmoja wa vijana wanaojisomea katika kambi ya msikiti wa Idrisa, Muhsin Juma magodoro aliyotoa kwa ajili ya vijana hawo kulalia,pindi wamalizapo masomo yao.* * * ** *Mkurugenzi Mtendaji wa Aisha Sururu Fondition, Aisha Sururu kulia akimkabizi mmoja wa vijana wanaojisomea katika kambi ya msikiti wa Idrisa, Muhsin Juma mashuka pamoja na magodoro aliyotoa kwa ajili ya vijana hawo kulalia.* Untitled MUHIDIN MICHUZI at MICHUZI - 6 hours ago *SERENGETI FREIGHT FORWARDERS LTD* *WAZEE WA KAZI* *TAARIFA YA ONGEZEKO LA BEI* *MTATUWIA RADHI WATEJA WETU, IMEBIDI TUONGEZE BEI KIDOGO ZA NDEGE* *HII IMETOKANA NA ONGEZEKO LA BEI YA MAFUTA YA NDEGE* *A**IR CARGO TO DAR NOW £3.80* *INCLUSIVE CLEARANCE* *STILL THE CHEAPEST AND SIMPLY THE BEST!* *WE PROMISED, WE DID IT AND WE ARE MAKING IT EVEN BETTER!* *KUCHUKUA MZIGO WAKO DAR ES SALAAM * *MPIGIE AGENT WETU DAR; TORNADO LUKOSI TEL; 0713607116* *MZIGO UNANDOKA KILA IJUMAA UNACHUKUA IJUMAA INAYOFUATA* *FROM NOW ALL OUR CARGO GOES WITH KENYA AIRWAYS! * ** *THIS MEANS A DIRECT FLIGHT TO NAIROB... more » UZINDUZI WA UJENZI WA BARABARA YA KAGOMA-LUSAHUNGA WILAYANI BIHARAMULO MUHIDIN MICHUZI at MICHUZI - 9 hours ago ** * Rais Jakaya Kikwete akiwa katika picha na mawaziri anaoongozana nao pamoja na viongozi wa mkoa wa Kagera wakati wa sherehe za uwekaji jiwe la msingi kwa ujenzi kwa kiwango cha lami wa barabara ya Kagoma-Lusahunga wilayani Biharamulo, mkoa wa Kagera* ** * Rais Jakaya Kikwete akiwa katika picha na viongozi wa CCM wa mkoa wa Kagera wakati wa sherehe za uwekaji jiwe la msingi kwa ujenzi kwa kiwango cha lami wa barabara ya Kagoma-Lusahunga wilayani Biharamulo, mkoa wa Kagera * ** * Rais Jakaya Kikwete akiwa katika picha na mawaziri anaoongozana nao pamoja na viongozi wa TANROADS wa... more » RAIS KIKWETE WILAYANI NGARA MKOANI KAGERA MUHIDIN MICHUZI at MICHUZI - 18 hours ago ** *Rais Kikwete akiwapungia mkono wakazi wa kijiji cha Rulenge,Wilayani Ngara wakati akiwasili kwenye kiwanja cha kijiji hicho tayari kwa kuzungumza nao ikiwa ni sehemu ya Ziara yake ya Kikazi Mkoani Kagera*** *Rais Kikwete akiwasalimia wananchi wa Kijiji cha Rulenge,Wilayani Ngara wakati akiwasili kwenye kiwanja cha kijiji hicho tayari kwa kuzungumza nao ikiwa ni sehemu ya Ziara yake ya Kikazi Mkoani Kagera* ** *Rais Kikwete akihutubia umati mkubwa wa wananchi wa Wilaya ya Ngara,Mkoani Kagera wakati wa Muendelezo wa Ziara yake ya Kikazi Mkoani Kagera.* ** *Waziri wa Ardhi, Nyumba na ... more » RAIS KIKWETE WILAYANI NGARA MKOANI KAGERA admin at IKULU BLOG - 18 hours ago Rais Kikwete akiwasalimia wananchi wa Kijiji cha Rulenge,Wilayani Ngara wakati akiwasili kwenye kiwanja cha kijiji hicho tayari kwa kuzungumza nao ikiwa ni sehemu ya Ziara yake ya Kikazi Mkoani Kagera Rais Kikwete akiwapungia mkono wakazi wa kijiji cha Rulenge,Wilayani Ngara wakati akiwasili kwenye kiwanja cha kijiji hicho tayari kwa kuzungumza nao ikiwa ni sehemu ya [...] UTEKELEZAJI WA DIRA YA TAIFA YA MAENDELEO NI JUKUMU LA KILA MTANZANIA - TUME YA MIPANGO MUHIDIN MICHUZI at MICHUZI - 18 hours ago ** *Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano Serikalini, Ofisi ya Rais, Tume ya Mipango, Bi. Joyce Mkinga (Kulia) akizungumza na wanahabari (hawapo pichani) alipokutana nao kuzungumzia hatua iliyofikiwa katika utekelezaji wa Dira ya Taifa ya Maendeleo 2025 na Utekelezaji wa Mpango wa Maendeleo wa Miaka Mitano (2011/12 -2015/16) jijini Dar es Salaam. * ** *Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano Serikalini, Ofisi ya Rais, Tume ya Mipango, Bi. Joyce Mkinga (Kulia) akionesha nakala ya Kijitabu cha Dira ya Taifa ya Maendeleo (TDV 2025), alipokutana na wanahabari kuzungumzia hatua iliyofikiwa katika uteke... more »
TOA MAONI YAKO HAPA CHINI

No comments:

Post a Comment