WEREMA AWAASA MAWAKILI WA SERIKALI KUFANYA KAZI KWA UZALENDO NA KUWAHUDUMIA WATANZANIA
*Mwanasheria Mkuu wa Serikali leo amefungua mafunzo ya awali kwa mawakili
wapya wa serikali wapato 33 kwenye hoteli ya giraffe, Dar-es-salaam. Mambo
aliyotilia mkazo ni kuepuka vitendo vya rushwa, kuwatumikia watanzania wa
tabaka zote, kufanya kazi kwa juhudi na kutambua ofisi ya mwanasheria mkuu
wa serikali sio sehemu ya kufanikisha maslahi binafsi. *
**
*Mwanasheria Mkuu wa Serikali akitoa nasaha wakati wa ufunguzi wa mafunzo
ya awali kwa mawakili wapya wa serikali. Kulia ni Mkurugenzi wa Mashtaka
Dkt Eeliezer Feleshi na kulia ni Mkurugenzi wa Rasilimali Watu Abdulrahman
Mdimu*
**
... more »




No comments:
Post a Comment