WILAYA YA HAI YAINGIA USHIRIKIANO NA SWEDEN
**
*Ujumbe wa viongozi kutoka wilaya ya Hai wakiwa na mwnyeji wao ambaye ni
mratibu wa miradi mbalimbali ya maendeleo na pia ni diwani,Stina Johansson
(wa tatu kulia).Wengine kutoka kulia ni Novatus Makunga[mkuu wa wilaya ya
Hai],Clement Kwayu[mwenyekiti wa halmashauri ya wilaya ya Hai]Melkizedeck
Humbe[Mkurugenzi Mtendaji wa halmashauri ya wilaya ya Hai] na Ester
Mbatiani ambaye ni Afisa mipango mkuu wa halmashauri ya wilaya ya Hai. *
*
*
*Na Richard Mwangulube*
*
*
*Halmashauri ya wilaya ya Hai,imeingia mkataba wa miaka minne wa
ushirikiano na Manispaa ya Arvidsjaur nchini Sweden un... more »




No comments:
Post a Comment