NEEMA YA MAJI KWA WAKAZI WA JIJI LA DAR ES SALAAM KUPITIA USHIRIKIANO BAYANA YA TANZANIA NA UJERUMANI
*Dar es Salaam ni moja ya majiji ambayo yanakua kwa kasi kiuchumi. Hii ni
kutokana na kuongezeka kwa idadi ya watu, uwekezaji, Viwanda nk. Haya yote
yamekuwa yanachangia kwa sehemu kubwa ongezeko la uhitaji wa maji na
inakadiriwa kuwa kwa miaka 15 ijayo uhitaji utaongezeka mara mbili zaidi. *
*
*
*Inakadiriwa kuwa zadi ya asilimia 50 ya wakazi wa Jiji la Dar es Salaam
hawajafikiwa na huduma ya maji ya bomba. Matumizi ya maji ya kisima kwa
jijini Dar es Salaam ni tatizo kutokana na uchafuzi wa mazingira utokanao
na Viwanda, maji taka na taka za wakazi wa jiji hilo. *
*
*
*Hii sasa yawe... more »
ZIARA YA MBUNGE WA JIMBO LA MOROGORO MJINI , ABDULAZIZ ABOOD AKIKAGUA SHUGHULI ZA MAENDELEO YA WANANCHI IKIWEMO UJENZI WA BARABARA ZA KIWANGO CHA LAMI.
**
* Mbunge wa Jimbo la Morogoro Mjini, Abdulaziz Abood ( kati kati) pamoja na
Meya wa Manispaa ya Morogoro , Amiri Nondo, ( mwenye kuvaa koti) Julai 18,
2013, wakibadirishana mawazo wakati wakikagua ujenzi wa barabara ya
Seng’ondo iliyopo eneo la Kata ya Boma, ambayo Meya huyo ni Diwani wa Kata
, barabara hiyo inayojengwa kwa kiwango cha lami na Kampuni ya Uhandisi
ya CGI na kutaraajiwa kukamilika Augosti mwaka huu.( Picha na John
Nditi).*
**
* Mbunge Abdulaziz Abood ( kushoto) akiwa na Mwalimu wake ,Madelina Lungu
aliyemfundisha wa Shule ya Msingi ya Bungo, mwaka 1967 darasa ... more »
TPA WAONGEA NA WAANDISHI KUELEZEA MAFANIKIO NA MIKAKATI YA KUBORESHA HUDUMA
**
*Viongozi wakuu wa idara mbalimbali za TPA wakiongea na waandishi wa Habari
leo ukumbi wa Maelezo, kuhusu mafanikio yaliyopatikana na mikakati
mbalimbali ya kuboresha huduma kwa wateja, kutoka kulia ni Mkurugenzi wa
ICT TPA Mr. Magesa, Mkugurenzi Msaidizi wa Maelezo Ms.Kawawa, Meneja
Mawasiliano TPA Mrs. Ruzangi, Meneja wa Bandari ya Dar Mr.Masawe,
Mkurugenzi wa Mipango TPA Mr.Urioh. *
WAZIRI WA UCHUKUZI, DKT. HARRISON MWAKYEMBE AKUTANA NA MWENYEKITI WA KAMPUNI YA ALHAYAT INVETMENT NA NEMBRAS INVESTMENT YA NCHINI OMAN
**
*Waziri wa Uchukuzi, Dkt. Harrison Mwakyembe (kulia), akifafanua jambo kwa
Mweyekiti wa Kampuni ya Alhayat Investment na Nembras Investment ya nchini
Oman, Shekhe Salim Al-Harthy, wakati walipomtebelea ofisini kwake leo
mchana. Kampuni ya Alhayat investment ni kampuni ambayo imeonyesha nia ya
kuwekeza kwenye Shirika la Ndege Tanzania (ATCL).*
**
* Mwenyekiti wa Kampuni ya Alhayat investment na Nembras Investment ya
nchini Oman, Shekhe Salim Al-Harthy akifafanua jambo kwa Waziri wa
Uchukuzi,Dkt. Harrison Mwakyembe(kulia),wakati mwenyekti huyo
alipomtembelea ofisni kwake leo mchana... more »
Waziri Mkuu akiwa Wilayani Nyasa Mkoani Ruvuma
**
*Waziri Mkuu, Mizenfo pinfa akiwapungia wananchi wa kijiji cha Kiagara
wilayani nyassa akiwa katika ziara ya mkoa wa Ruvuma Julai 182013. Kulia ni
mkewe Mama Tunu Pinda. *
**
*Mke wa Waziri Mkuu, Mama Tunu Pinda (wapili kushoto)akitazama kazi za
mikono alizozawadiwa na wanawake wa Lituhi wilayani Nyassa akiwa katika
ziara ya mkoa wa Ruvuma Julai 17,2013.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu). *
DC HANDENI AAGIZA WAFANYABIASHARA KUTOA STAKABADHI KWA KUTUMIA MASHINE ZA TRA
**
*Na Mohammed Mhina, wa Jeshi la Polisi.*
*
Serikali wilayani Handeni mkoani Tanga, imewataka Wafanyabiasha wilayani
humo, kuhakikisha kuwa wananunua na kutumia mashine za TRA za kielektroniki
(EFD) katika kutoa risiti wakati wanapouza bidhaa zao kwani kutotoa
stakabadhi ni kosa la jinai.*
*
*
*Agizo hilo limetolewa leo na Mkuu wa wilaya ya Handeni mkoani Tanga Bw.
Muhingo Rweyemamu, wakati alipokuwa akifanya uzinduzi wa matuminzi sahihi
ya mashine hizo za kielektroniki (EFD) wilayani humo na kusema kuwa
itakapobainika kwa mfanyabiashara anauza bidhaa bila ya kutoa stakabadhi
atac... more »
UCHAGUZI WA TFF KUFANYIKA SEPTEMBA 29,KAMATI YA MAJAJI YAPANGWA KUONGOZA MCHAKATO MZIMA
* *
*Wakati uchaguzi mkuu wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), ukiwa
umepangwa kufanyika Septemba 29, Majaji na wanasheria wametangazwa kuongoza
kamati mbali mbali za shirikisho hilo.*
*
Kikao cha kamati ya utendaji kilichoketi jana kilifanya mabadiliko kwenye
kamati zake mbali mbali ikiwa ni pamoja na kutekeleza agizo la FIFA
lilitolewa Aprili mwaka huu baada ya kusimamisha mchakato wa uchaguzi wa
TFF, na kuagiza kwanza yafanyike marekebisho ya Katiba ili kuingiza Kamati
ya Maadili, na Kamati ya Rufani ya Maadili ambavyo ndivyo watashughulikia
matatizo ya kimaadili kwa familia y... more »
Orange-Fleshed Sweet Potatoes event
**
*USAID/Tanzania Mission Director Sharon L. Cromer delivers remarks about
the nutritious and economic benefits of Orange Fleshed Sweet Potatoes
during the Orange Fleshed Sweet Potato Harvest held in Mikocheni on
Wednesday, July 17th. *
**
*A member of the Tanzania Agriculture Productivity Program, sponsored by
USAID through the Feed the Future Initiative explains appropriate planting
and harvesting techniques of the nutritious Orange Fleshed Sweet Potato. *
TAARIFA KWA UMMA:USALAMA WA DAWA AINA YA DICLOFENAC
**
*
*
1. *Mamlaka ya Chakula na Dawa (TFDA) ina jukumu la kulinda na kudumisha
afya ya jamii kwa kuhakiki ubora, usalama na ufanisi wa vyakula, dawa,
vipodozi na vifaa tiba.*
*
*
1. *Hivi karibuni, TFDA imepokea taarifa ya kuwepo kwa hofu juu ya
usalama wa dawa aina ya Diclofenac kupitia mitandao ya simu na vyombo vya
habari. Kufuatia taarifa hiyo, TFDA inapenda kutoa ufafanuzi kama ifuatavyo:
*
*
*
*a. Diclofenac ni dawa iliyoko kwenye kundi la dawa zinazojulikana
kitaalam kama “Non – Steroidal Anti-inflammatory Drugs”(NSAIDs). Dawa hizi
hutumika kutu... more »
Prof. Mbarawa atoa somo kwa nchi zinazopitiwa na Bonde la Ufa
**
*Waziri wa Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia Profesa Makame Mbarawa
akiwasilisha mada wakati wa mkutano maalumu wa kuangalia changamoto na
hatua mbalimbali za kimaendeleo katika sekta ya TEHAMA kwa nchi zilizo
katika ukanda wa Bonde la Ufa jijini Dar es Salaam jana. *
**
*Waziri wa Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia Profesa Makame Mbarawa
akifafanua jambo kwa waandishi wa habari wakati wa mkutano maalumu wa
kuangalia changamoto na hatua mbalimbali za kimaendeleo katika sekta ya
TEHAMA kwa nchi zilizo katika ukanda wa Bonde la Ufa jijini Dar es Salaam
jana. Wengine katikati ni Com... more »
Wananchi Sasa Kupata Taarifa za Huduma za RITA kwa ‘Sms’ , Tovuti na Mitandao ya Kijamii
**
*Naibu Waziri Angellah Jasmine Kairuki akizungumza katika hafla ya uzinduzi
rasmi wa huduma ya mpya ya kidijitali za Wakala wa Usajili Ufilisi na
Udhamini (RITA) ambazo zitawawezesha wananchi wote wenye simu za mkononi na
mtandano kupata huduma mbali mbali za RITA kwa kutumia simu zao za
mikononi. *
**
*Mkurugenzi Mtendaji wa Push Media Mobile, Freddie Manento akifafanua jambo
katika wakati wa uzinduzi wa huduma ya mpya ya kidijitali za Wakala wa
Usajili Ufilisi na Udhamini (RITA) ambazo zitawawezesha wananchi wote wenye
simu za mkononi na mtandano kupata huduma mbali mbali za RIT... more »
TANZANIA YAPOKEA MKOPO WA BILIONI 87 ZA UJENZI WA VITUO VYA KUHIFADHIA VITAMBULISHO VYA TAIFA
**
* Waziri wa Fedha Dk.William Mgimwa kushoto akiwa na Mwenyekiti
na Rais wa Benki ya Export Import ya Korea wakionyesha mkataba wa mkopo
wenye thamani ya shilingi billioni 87 za kitanzania,waliosaini kwa ajili ya
kujenga vituo vya kuhifadhi vitambulisho vya Taifa leo jijini Dar Es Salaam.
*
**
**
* Waziri wa Fedha Dk.William Mgimwa kushoto akiwa na Mwenyekiti na Rais wa
Benki ya Export Import ya Korea wakionyesha mkataba wa mkopo wenye thamani
ya shilingi billioni 87 za kitanzania,waliosaini kwa ajili ya kujenga vituo
vya kuhifadhi vitambulisho vya Taifa leo jijini Dar Es Sala... more »
CHAJA YA READYSET KUTOA NJIA MBADALA YA CHANZO CHA NISHATI.
**
* Meneja Mauzo wa Vodacom Tanzania, kupitia mradi wa"Readyset Charge" Bw.
Nicholaus Kizenga,akiwaonesha wakazi wa Ubungo jijini Dar es Salaam jinsi
yakutumia chaji hiyo inayotumia mionzi ya jua,zinazopatikana katika maduka
ya Vodacom nchini na zinatumika kwa ajili ya kuchajia simu za mkononi na
matumizi mbalimbali ya kibiashara,kwa wajasiriamali wadogowadogo ,Elimu
hiyo ilifanywa na kampuni ya Fenix International kwa kushirikiana na
Vodacom Tanzania.*
**
* Mfanyabiashara wa Ubungo jijini Dar es Salaam Rashid
Ally(katikati)akimsikiliza Meneja Mauzo wa Vodacom Tanzania, kupitia m... more »
MAKAMU WA RAIS DKT BILAL AREJEA NCHINI.
**
* Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. Mohammed Gharib
Bilal, akiteremka kwenye ndege GF1 alipowasili kwenye uwanja wa ndege wa
kimataifa wa Julius Nyerere Dar es salaam akitokea Nchini Nigeria
alikohudhuria mkutano wa Umoja wa Afrika uliojadili mbinu za kukabiliana na
Ukimwi, Malaria na kifua kikuu ambapo aliwaambia wajumbe wa mkutano huo
kuwa Tanzania itafikia malengo ya Umoja wa Afrika iliyojiwekea katika
kukabiliana na Magonjwa hayo, mkutano huo ulimalizika jana July 17-2013
mjini Abuja Nchini Nigeria (Picha na OMR)*
**
* Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano ... more »
WAFANYAKAZI WOTE WA AIRTEL DAR WAINGIA MITAANI KUTOA SOMO JINSI YA KUJIUNGA NA AIRTEL YATOSHA NA SHINDA NYUMBA LEO
*Mkurugenzi wa Airtel huduma kwa wateja Bi Adriana Lyamba LEO amesema
Airtel inafanya zoezi la kuingia mtaani jijini dar es salaam na wafanyakazi
wao wote wa ofisi kuu jijini Dar es salaam kwa lengo ka kuhakikisha kuwa
kila mteja anafahamu jinsi ya kufaidika na huduma zao zote ikiwemo ya
Airtel Yatosha ambapo mteja hujiunga kwa kupiga *149*99# Kisha kuchagua
kifurushi nafuu cha SIKU WIKI AU MWEZI ili kuongea kwa gharama nafuu kwenda
mtandao wowote nchini Tanzania *
**
* Meneja Uhusioano wa Airtel jackson mmbando akibadilishana mawazo na Maafisa
mauzo wa Airtel wa mkoa wa Dar es Sala... more »
ANGALIZO LA GLOBU YA JAMII: HUDUMA ZETU NI ZA BURE
*HABARI ZA KIJAMII KAMA VILE MISIBA, HARUSI, SHEREHE ZA KUZALIWA NA
NYINGINE AINA HIYO HUCHAPISHWA NASI BILA MALIPO. HALI KADHALIKA HABARI NA
PICHA KUTOKA SEHEMU YOYOTE ILE HUCHAPISHWA BURE. HII NI KATIKA KUHAKIKISHA
TUNADUMISHA SERA YETU YA KUHUDUMIA JAMII BILA MALIPO. KAMA UTADAIWA
CHOCHOTE TOKA KWA MTU YEYOTE UJUE HUO NI UTAPELI AMBAO HAUHUSIANI NA GLOBU
YA JAMII.*
*
*
*TUMELAZIMIKA KUTOA UJUMBE HUU KWANI HABARI ZIMETUFIKIA KWAMBA KUNA WATU
WANAPITA HUKU NA KULE WAKIJITAMBULISHA KAMA WAKALA, WAANDISHI AMA WAPIGA
PICHA WA GLOBU YA JAMII NA KUDAI CHOCHOTE KUTOKA KWA WAHUSIKA, KWA... more »
TUFURAHIE HEPI BESDEI YA KUZALIWA MADIBA NA SIKU YA MANDELA DAY LEO
**
*Ankal akiwa katika sebule ya nyumba aliyokuwa akiishi Mzee Nelson Mandela
Mtaa wa Vilakazi namba 8115 huko Orlando ya Magharibi, Soweto, Afrika
Kusini. Hii ilikuwa Julai 18, 2010 wakati wa kuadhimisha Hepi Besdei ya
miaka 92 ya kuzaliwa kwa Madiba. Leo Globu ya Jamii inaungana na wadau wote
duniani kuadhimisha miaka 95 ya shujaa huyu wa Afrika anayependwa na kila
mtu.*
*Ikumbukwe pia kwamba leo ni siku ya Kimataifa ya Mandela kama
ilivyotangazwa na Umoja wa Mataifa mwaka 2011.*
*Tunamtakia aendelee kupata nafuu na aweze kuinuka kitandani huko hospitali
alikolazwa kwa mwezi mmoja ... more »




No comments:
Post a Comment