Mradi huu ni moja ya ahadi alizotoa Rais Kikwete kipindi cha kampeni.CCM OYEE
Wednesday, July 17, 2013
CCM INATEKELEZA INACHO AHIDI
Mlezi wa CCM mkoa wa Pwani mama Zakhia Meghj akiwa na viongozi wa
CCM wa mkoa wa Pwani na wilaya ya Mafia, wakipata maelezo ya maendeleo
ya ujenzi wa Gati ya meli kisiwani hapo. Pamoja nae ni mwenyekiti wa CCM
mkoa wa Pwani mzee Mwinsheshe Mlao,mbunge wa Mafia Bwana Shah,mjumbe wa
kamati ya siasa ya mkoa wa Pwani na na mlezi wa CCM Mafia Bwana
Ridhiwan Kikwete na mwenyekiti wa wilaya Bi Arafa Kisera.
Mradi huu ni moja ya ahadi alizotoa Rais Kikwete kipindi cha kampeni.CCM OYEE
TOA MAONI YAKO HAPA CHINI
Mradi huu ni moja ya ahadi alizotoa Rais Kikwete kipindi cha kampeni.CCM OYEE
Subscribe to:
Post Comments (Atom)

No comments:
Post a Comment