Pages

Ads 468x60px

Monday, September 22, 2014

UVCCM KATA YA NGUVUMALI WAMSIMIKA KAMANDA

Kamanda wa Kata ya Nguvumali Mr. Bernard Goliama akiapishwa RASMI kubwa Kamanda wa kata Ya Nguvumali Tanga. Lilikuwa tukio la kipekee sana katika Kata. Tunawashukuru sana vijana wa Nguvumali kwa Imani na Mimi. Nitajitahidi kwa uwezo wangu wote kuunganisha vijana((UVCCM) na vijana wengine). Tukio hili Lilifanishwa na Viongozi wa Juu wa CCM Wilaya na Wazee wa Nguvumali na Kunisimika RASMI. ASANTENI SANA.








TOA MAONI YAKO HAPA CHINI

No comments:

Post a Comment