Pages

Ads 468x60px

Wednesday, May 7, 2014

MAZISHI YA KADA WA CHAMA NA BABA WA MH. DEO FILIKUNJOMBE MBUNGE WA LUDEWA


Kutoka  kushoto mkuu wa wilaya ya  Ludewa  Juma Madah ,mbunge wa  jimbo la Ludewa  Deo Filikunjombe na mbunge wa jimbo la  kigoma kaskazani Zitto Kabwe wakiwa katika msiba wa babake Filikunjombe mjini Ludewa jana.


DC Ludewa Bw Juma Madaha akitambulisha  viongozi mbali mbali







Mbunge wa  jimbo la Ludewa  Deo Filikunjombe kushoto  akilitazama jeneza lenye mwili wa babake marehemu  Frolian Filikunjombe likiingizwa  ndani ya kanisa la RC Ludewa kwa ajili ya ibada ya mwisho kabla ya mazishi  yaliyofanyika katika makaburi ya Ludewa mjini



TOA MAONI YAKO HAPA CHINI

No comments:

Post a Comment