Saturday, July 13, 2013
RAIS KIKWETE ALILALA CHINI ILI KUMSIKILIZA BIBI KWA MAKINI
Mara kadhaa rais kikwete ameonekana kuwa ni rais wa kawaida sana hasa anapokutana na watu masikini na wakawaida
amekuwa anapokutana na watoto akichuchumaa na kuwa beba ata kama ni watoto wa masikini na wachafu
rais kikwete ni mfano bora kwetu sisi watanzania wote
TOA MAONI YAKO HAPA CHINI
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment