Pages

Ads 468x60px

Saturday, December 28, 2013

RAIS KIKWETE AWAJULIA HALI WAGONJWA WALIOLAZWA MUHIMBILI


Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akimjulia hali mtoto Andrew Simba(15) aliyelazwa katika Hospitali ya Taifa Muhimbili wakati Rais alipowatembelea na kuwafariji  baadhi ya wagonjwa katika wodi ya Mwaisela leo.(picha na Freddy Maro).

TOA MAONI YAKO HAPA CHINI

No comments:

Post a Comment