
MUHIDIN MICHUZI at MICHUZI BLOG - 9 hours ago
** *Waziri wa Nchi Ofisi ya Mamaku wa Rais Mazingira,Dkt. Terezya Huvisa akizungumza na waandishi wa habari ofisin kwake jijini dar es salaam leo kuhusu tamko la serikali la upigaji marufuku matumizi ya mifuko ya plastiki hapa nchi.(Picha na Ofisi ya Makamu ya wa Rais.) * ** * * *Na Ofisi ya Makamu wa Rais * * * *Serikali imepiga marufuku ungizaji, utengenezaji, uuzaji, na utumiaji wa mifuko ya plastiki. hayo yameelezwa na Waziri wa nchi ofisi ya makamu wa Rais(mazingira) Dk Terezya Huvisa alipokuwa akizungumza na waandishi ofisini kwake jijini Dar es Salaam leo. * * * *Dkt. Hufisa am... more
TOA MAONI YAKO HAPA CHINI
No comments:
Post a Comment