MUHIDIN MICHUZI at MICHUZI BLOG - 12 minutes ago
*Picha na habari na Faustine Ruta* *Kamati ya Kudumu ya Bunge la Jamhuri ya Muungano Tanzania ya Miundombinu ikiongozwa na Mwenyekiti wake Mhe. Peter Joseph Serukamba (Mbunge Kigoma Mjini) ilifanya ziara ya kukagua miundombinu ya bandari na viwanja vya ndege mkoani Kagera jana Agosti 14, 2013. * *Kamati hiyo mara baada ya kuwasili mkoani Kagera na kupokelewa na Mkuu wa Mkoa wa Kagera ofisini kwake majira ya saa 5:00 asubuhi ilianza ziara yake mkoani hapa kwa kutembelea bandari za Bukoba na Kemondo kujionea miundombinu ya bandari hizo. * *Katika bandari ya Bukoba baada ya kutembelewa n... more »
Thursday, August 15, 2013
KAMATI YA KUDUMU YA BUNGE YA MIUNDOMBINU YAKAGUA MIUNDOMBINU YA BANDARI NA VIWANJA VYA NDEGE MKOANI KAGERA
MUHIDIN MICHUZI at MICHUZI BLOG - 12 minutes ago
*Picha na habari na Faustine Ruta* *Kamati ya Kudumu ya Bunge la Jamhuri ya Muungano Tanzania ya Miundombinu ikiongozwa na Mwenyekiti wake Mhe. Peter Joseph Serukamba (Mbunge Kigoma Mjini) ilifanya ziara ya kukagua miundombinu ya bandari na viwanja vya ndege mkoani Kagera jana Agosti 14, 2013. * *Kamati hiyo mara baada ya kuwasili mkoani Kagera na kupokelewa na Mkuu wa Mkoa wa Kagera ofisini kwake majira ya saa 5:00 asubuhi ilianza ziara yake mkoani hapa kwa kutembelea bandari za Bukoba na Kemondo kujionea miundombinu ya bandari hizo. * *Katika bandari ya Bukoba baada ya kutembelewa n... more »
Subscribe to:
Post Comments (Atom)

No comments:
Post a Comment