Pages

Ads 468x60px

Wednesday, July 2, 2014

TIMU YA CHIPUKIZI UVCCM MKOA WA IRINGA YAANZA VIBAYA MASHINDANO BAADA YA KUFUNGWA NA MAKORONGONI STAR



Timu ya Chipukizi UVCCM Mkoa wa Iringa


Timu ya chipukizi UVCCM MKOA WA IRINGA yaaza vibaya mashindano baada ya Jana kifungwa tatu moja na makorongoni star
Timu ya Chipukizi UVCCM Mkoa wa Iringa wakiwa na Katibu wa UVCCM MKOA Kamarada Haidary Van Alawi. walipoteza mechi yao ya kwanza dhidi ya Makorongoni baada ya kulazwa 1-3
TOA MAONI YAKO HAPA CHINI

No comments:

Post a Comment