Pages

Ads 468x60px

Thursday, June 5, 2014

VIJANA WA CHAMA CHA MAPINDUZI WAENDELEZA KUIMARISHA CHAMA GEITA LEO

Katibu wa Chama cha Mapinduzi (Msukuma) akiwa na Paul Makonda Katibu wa hamasa na Chipukizi Taifa katika Mkutano Jioni ya leo huko Mkoani Geita.

Viongozi  hawa wa Chama chamapinduzi wako katika Ziara ya Kukiimarisha Chama na kuhimiza michezo ambayo ni moja ya ahadi katika ilani ya mwaka 2010 Kanda ya Ziwa Wilaya ya Mbogwe Mkoani Geita.

 MICHEZO NI AJIRA MICHEZI NI AFYA. Huyu nikatibu wa Mkoani Gaita Ndugu Msukuma akihutubia Umati wa wanaMbongwe walojitokeza kwa wingi zaidi.

Ukitizama Mezani utaona Mpira ambao upo kwa ajili ya kuwapatia wachezaji kwa ajili ya kufanya Michezo na Kuimarisha Afya za watanzania lakini pia ni Ajira kwa Vijana wetu.

Viongozi wakiteta

Hili ni Nyomi la Wilaya ya Mbogwe Mkoani Geita

Hii nikatika Utambulisho kwa wananchi

Hakika Viwanja vilifurika Balaa


Ulinzi uliimarishwa zaidi kwa askari walioko Kamili kila Idara






Hivi ni Vitambulisho vilivyogawiwa kwa washiriki leo



Hapa Paul Makonda akisalimiana na Kada Kiongozi wa Chama cha Mapinduzi aliemfuata Meza Kuu na Kusalimia

Hili ni Nyomi la Wana Geita walokuja uwanjani hapa kushukudia na Kusikiliza UKAWA wakimalizwa kwa Fact Tupu.

TOA MAONI YAKO HAPA CHINI

No comments:

Post a Comment