Pages

Ads 468x60px

Thursday, June 26, 2014

MKUTANO WA MBONI MHITA NA NAIBU WAZIRI WA VIJANA WA CHINA SERENA HOTELI JUZI


Mazungumzo na Kiongozi wa Vijana toka CPC China ambae pia ni Naibu waziri wa Vijana nchini China. Nimemueleza Siasa na uchumi. Vijana lazima tujikwamue kiuchumi iwe kuajiriwa au kwa kujiajiri. Nyimbo za siasa ziambatane na utatuzi wa kiuchumi kwa vijana.
TOA MAONI YAKO HAPA CHINI

No comments:

Post a Comment