Pages

Ads 468x60px

Saturday, March 15, 2014

CCM YAFANYA KAMPENI YA MWISHO JIMBO LA KALENGA

DSC_0501_744d9.png
Mgombea Ubunge Jimbo la Kalenga kupitia CCM Godfray Mgimwa akiongea na wapigakura katika kijiji cha Udumuka kata ya Ifunda wakati wa mkutano wa kampeni huku akitoa ahadi ya kukabiliana na changamoto walizonazo ((Picha na Said Ng'amilo)
DSC_0494_a8c8d.png
Wananchi wa kijiji cha Udumuka wakimsikiliza mgombea Ubunge Jimbo la Kalenga Godfray Mgimwa kupitia chama chamapinduzi akimwaka sera zake kwa kutumia Ilani ya CCM. (Picha na Said Ng'amilo)
DSC_0505_f161a.png
Kampeni zikiendelea katika kijiji cha Udumuka  Jimbo la Kalenga.(Picha na Said Ng'amilo)
(MM)
TOA MAONI YAKO HAPA CHINI

No comments:

Post a Comment