Pages

Ads 468x60px

Saturday, February 15, 2014

RAIS KIKWETE ALIPOREJEA NYUMBANI JANA AKITOKEA LONDON



Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam Bwana Said Meck Sadik akimpokea Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete muda mfupi baada ya kuwasili katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere akitokea London Uingereza ambapo alihudhuria Mkutano uliojadili mbinu za kupambana na Ujangili duniani.Mkutano huo uliandaliwa na mwana mfalme wa Uingereza Prince Charles. (Picha na Freddy Maro)
TOA MAONI YAKO HAPA CHINI

No comments:

Post a Comment