Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akimwapisha Inspekta Generali mpya wa Jeshi la
Polisi Tanzania (IGP) Ernest Mangu katika viwanja vya Ikulu jijini Dar
es salaam, leo jioni
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimpatia nyenzo za kazi Naibu Inspekta
Generali wa Polisi (IGP) Abdulrahman Kaniki baada ya kumwapisha katika
viwanja vya Ikulu jijini Dar es salaam, leo jioni
Rais Jakaya Mrisho Kikwete, Makamu wa Rais Dkt Mohamed Ghalib Bilali na
Katibu Kiongozi Balozi Ombeni Sefue katika picha ya pamoja na Inspekta
Generali mpya wa Polisi (IGP) Ernest Mangu na Naibu IGP Abdulrahman
Kaniki katika viwanja vya Ikulu jijini Dar es salaam leo jioni
Rais
Jakaya Mrisho Kikwete, Makamu wa Rais Dk. Mohamed Ghalib Bilali,
Mawaziri na Katibu Kiongozi Balozi Ombeni Sefue katika picha ya pamoja
na Inspekta Generali mpya wa Polisi (IGP) Ernest Mangu na Naibu IGP
Abdulrahman Kaniki katika viwanja vya Ikulu jijini Dar es salaam leo
jioni.
Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika picha ya pamoja na IGP mpya Ernest
Mangu, Naibu Inspekta Generali wa Polisi (IGP) Abdulrahman Kaniki
pamoja na IGP mstaafu Saidi Mwema, katika viwanja vya Ikulu jijini Dar
es salaam, leo jioni.
Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika picha ya pamoja na IGP mpya Ernest
Mangu, Naibu Inspekta Generali wa Polisi (IGP) Abdulrahman Kaniki.
Picha na Ikulu










No comments:
Post a Comment