MUHIDIN MICHUZI at MICHUZI - 2 hours ago
*Klabu ya Rotary ya Jijini Dar Es Salaam leo imekabidhi rasmi wodi ya watoto wenye saratani kwa Hospitali ya Taifa Muhimbili. Wodi hiyo imejengwa na Klabu hiyo kwa kiasi cha Shilingi Billioni 1.2 ikiwa ni gharama za ujenzi, samani, na vifaa tiba vya wodi hiyo. Wodi hiyo ni ya kwanza kwa ubora Kusini mwa Jangwa la Sahara. Tafadhali fuatilia katika picha yaliyojiri wakato wa ufunguzi* ** *Hii ndiyo wodi iliyojengwa na Klabu ya Rotary kwa kushirikiana na wadau wengine. Ni sakafu moja ya juu ambayo imewekwa bango.* ** *Kutoka kulia ni Mwenyekiti wa Bodi ya Wadhamini wa Hospitali ya Taifa ... more »
Thursday, August 1, 2013
OTARY YAKABIDHI WODI YA SARATANI KWA MUHIMBILI YENYE THAMANI YA BILIONI 1.2 TSHS
R
MUHIDIN MICHUZI at MICHUZI - 2 hours ago
*Klabu ya Rotary ya Jijini Dar Es Salaam leo imekabidhi rasmi wodi ya watoto wenye saratani kwa Hospitali ya Taifa Muhimbili. Wodi hiyo imejengwa na Klabu hiyo kwa kiasi cha Shilingi Billioni 1.2 ikiwa ni gharama za ujenzi, samani, na vifaa tiba vya wodi hiyo. Wodi hiyo ni ya kwanza kwa ubora Kusini mwa Jangwa la Sahara. Tafadhali fuatilia katika picha yaliyojiri wakato wa ufunguzi* ** *Hii ndiyo wodi iliyojengwa na Klabu ya Rotary kwa kushirikiana na wadau wengine. Ni sakafu moja ya juu ambayo imewekwa bango.* ** *Kutoka kulia ni Mwenyekiti wa Bodi ya Wadhamini wa Hospitali ya Taifa ... more »
TOA MAONI YAKO HAPA CHINI

Subscribe to:
Post Comments (Atom)

No comments:
Post a Comment