** * Sehemu ya Vijana wa Vyuo Vikuu walioshiriki Kongamano la kujadili Rasimu ya Katiba Mpya na Rasilimali za nchi yetu.* ** * Baadhi ya Mafisa wa Mkoa wa Vyuo Vya Elimu ya Juu CCM wakiwa na mgeni rasmi wa Kongamano,Mheshimiwa Profesa Sospeter Muhongo,katika ukumbi wa Riverside,Ubungo.* ** * Baadhi ya washiriki wa Kongamano wakifuatilia kwa makini hotuba ya Profesa Muhongo alipokuwa akichambua masuala ya gesi na uchumi.* ** *Waandishi wa Habari kutoka vyombo mbali mbali nchini wakichukua habari za Kongamano la Kujadili rasimu ya Katiba mpya na rasilimali lililofanyika katika ukumbi wa... more »
Wenye uzito uliopitilizwa waitwa kufanyiwa matibabu
11 hours ago




No comments:
Post a Comment