Pages

Ads 468x60px

Sunday, August 25, 2013

JK APOKEA Kamusi ya Istilahi za Kidiplomasia toka kwa balozi wa kenya

MUHIDIN MICHUZI at MICHUZI BLOG - 37 minutes ago
** *Balozi wa Kenya nchini Tanzania anayemaliza muda wake Mhe. Mutinda Mutiso akimkabidhi Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete nakala ya Kamusi ya Istilahi za Kidiplomasia(Diplomatic Terminologies Dictionary) wakati balozi huyo alipokwenda kumuaga ikulu jijini Dar es Salaam baada ya kumaliza muda wake wa utumishi hapa nchini mwishoni mwa wiki.* *Picha na mdau Freddy Maro wa Ikulu.*
TOA MAONI YAKO HAPA CHINI

No comments:

Post a Comment