Pages

Ads 468x60px

Friday, August 16, 2013

Dkt. Shein Apokea Zawadi kutoka kwa Msanii maarufu wa Mkoani Mtwara

MUHIDIN MICHUZI at MICHUZI BLOG - 4 seconds ago ** *Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,(kulia) akipokea zawadi ya Kinyago cha Twiga kutoka kwa Msanii maarufu Mzee Otmar Francos Mpanda kutoka Mkoani Mtwara wilaya ya Masasi,pia akiwa Mzee wa CCM Wilaya hiyo,hafla hiyo ilifanyika leo katika Ukumbi wa Ikulu Mjini Unguja.Picha na Ramadhan Othman,Ikulu. *
TOA MAONI YAKO HAPA CHINI

No comments:

Post a Comment