Pages

Ads 468x60px

Wednesday, August 21, 2013

BALOZI SEFUE KUSHIRIKI BONANZA LA MICHEZO YA WATUMISHI WA SERIKALI MUHIDIN MICHUZI

BALOZI SEFUE KUSHIRIKI BONANZA LA MICHEZO YA WATUMISHI WA SERIKALI MUHIDIN MICHUZI at MICHUZI BLOG - 4 hours ago ** *Na Happiness Shayo * * * *Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Sefue anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika tamasha la michezo (sports bonanza) la uzinduzi wa michezo ya SHIMIWI litakalowashirikisha Watendaji Wakuu wa Serikali na watumishi wa umma litakalofanyika siku ya jumamosi Agosti 24 mwaka huu majira ya saa moja asubuhi katika Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam. * * * *Hayo yalisemwa na Kaimu Katibu Mkuu wa Shirikisho la Michezo ya Wizara na Idara za Serikali (SHIMIWI) Bw. Moshi Makuka akiwa ofisini kwake mapema leo. * * * *Alisema dhumuni la michezo hiyo ni kujenga na kulinda ... more »
TOA MAONI YAKO HAPA CHINI

No comments:

Post a Comment